Nahitaji binti wa stationary sifa,Awe na uzoefu wa kazi za stationary usiopungua mwaka mmoja,elimu kuanzia kidato cha nne,mwaminifu,umri kuanzia miaka 17 mpaka27.kipaumbele kitakuwa kwa wakazi wa mbezi,kimara,goba na maeneo jirani na hayo .kwa aliyekidhi vigezo tuwasiliane kuptia 0713608279.Imetolewa tarehe 27.12.2016