Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 85
Pole dada angu....but mwombe Mungu atakusaidia.....NIMESIKITIKA SANA....DAH
ndo mana sitaki nfike huko mkuu, wala sipendi kumkosea Mungu.............. sisi ni walokole japo hakuna mkamilifu ila Mungu tu.
Pole sana wewe ndiye unamfahamu huyo jamaa vizuri na unaona ana sifa nyingi za kustahili kuwa mumeo. Wewe ndiye utaishi naye. Olewa naye tu labda Wazazi siku za usoni wanaweza kumkubali na kumkaribisha rasmi kwenye familia. Usifanye makosa ya kuachana naye. Kila la heri katika kufanya maamuzi yako.
asante sana, mwezi wa nne nitareta mrejesho kama wamekubali au la!
Jibu la matatizo yake ni nini mshenga?Kuna mambo sisi binadamu tunapenda kuyacomplicate.....jibu la tatizo lako ni rahisi sana ya nini maamuzi magumu??
asante ndugu yangu ila wazazi wangu, ni kama wakoloni sijui au niwaite vipi! wanataka hadi niwe na maisha yangu hadi pale watakapoona hapa ridhika wao. wanapoona watoto wa wengine age 30+ wajaolewa na wamejenga nyumba wakazi zao, utasikia muone fulani hajaolewa ana nyumba, gari ..., mi nasema unajuaje kama hajapenda kuolewa kama hajampata wa kuoa je?
Jibu la matatizo yake ni nini mshenga?