Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

Save mwaka mmoja, ujenge boma kisha finishing utafanya mdogomdogo.
 
Usikope ili ujenge, ni ushauri mbovu sana
Kama wengi walivyokuambia hapa save hata laki tano au jibane usevu hats laki saba kila mwezi, ukifikisha milioni 5 kaanze kuchimba msingi na kupandisha tofali
Baada ya halo tena save tens nyingine upige hadi lenta baada ya hapo unaanza tens Ku save ya kupaua na kuweka Bati

Ukishamaliza hapo ni awamu ya kwanza imeisha.
Awamu ya pili ni finishing ambayo utaenda nayo mdogo mdogo hiivyo hivyo
 
Mimi nilianza hivi, niliongea na rafiki yangu akanipigia hesabu ya
Matofali
Mawe
Mchanga
Cement
Nondo
Ufundi.
Kiwanja nilikuwa nacho.
Kila mwezi nilikuwa nanunua kimoja nakamikisha.
Baada ya miezi 18 nikaita mafundi nikajenga boma nikapaua nikaweka grill madirishani na milango ya nje nikamwambia wife tuhamie. Ikikuwa 1999.
Wife akasema hakai kwenye pagale akaenda kupanga master safi town akakaa mie nikazama kwenye pagale.
Uchungu niliokuwa nao hela yoyote niliyoipata kila siku nilinunua chochote, hata kilo ya misumari sikuacha kisa sina hela.
Nikapiga ndani ya miezi 11 na geti la ku slide.
Hizo ni pamoja na hasira za kuachwa kisa pagale nilikonda kwa njaa na mawazo.
Eti alituma wazazi waje watupatanishe wakati nikijua alipata mimba ikaharibika sijui alitoa.
mbona hii ni kama story unatupanga.!!:HAHAHA:
 
Nilianza ujenzi baada ya miaka 3 ya kukaa kazni. Kwa kipato kama chako bila kuchukua mkopo. Nilichofanya ni mshahara ndani ya miezi 9 ya kwanza kuanza kuuzungusha ktk biashara ili kuongeza kipato. Ivi leo navoandika hapa mwezi wa 2 mwaka huu nilihamia kwangu nyumba ikiwa imekamilika kila k2 ya vyumba 4. Cjajua una muda gan kazn, lkn kama ndo unaanza unaweza anza kusave kwanza ama ukaanza kuitumia iyo hela kupata hela zingine na ndan ya muda kadhaa i hope utafanikisha jambo lako. Lkn kutuliza akili na kufanya vitu vyako kwa juhudi utatimiza malengo yako, otherwise uwe mtu wa mambo mengi ya anasa na yasiyo na maana.
 
Mimi nilianza hivi, niliongea na rafiki yangu akanipigia hesabu ya
Matofali
Mawe
Mchanga
Cement
Nondo
Ufundi.
Kiwanja nilikuwa nacho.
Kila mwezi nilikuwa nanunua kimoja nakamikisha.
Baada ya miezi 18 nikaita mafundi nikajenga boma nikapaua nikaweka grill madirishani na milango ya nje nikamwambia wife tuhamie. Ikikuwa 1999.
Wife akasema hakai kwenye pagale akaenda kupanga master safi town akakaa mie nikazama kwenye pagale.
Uchungu niliokuwa nao hela yoyote niliyoipata kila siku nilinunua chochote, hata kilo ya misumari sikuacha kisa sina hela.
Nikapiga ndani ya miezi 11 na geti la ku slide.
Hizo ni pamoja na hasira za kuachwa kisa pagale nilikonda kwa njaa na mawazo.
Eti alituma wazazi waje watupatanishe wakati nikijua alipata mimba ikaharibika sijui alitoa.
Duh
 
nipo kwenye harakati za kuanza, nime save 12m, naendelea ku save mpg mwakani nitakua nipo kwenye 20+m
Usi save hela inapungua thamani.

Nunua materials na kama kiwanja unacho endelea na ujenzi, bei ya cement, nondo n.k. ya leo haitafanana na ya mwakani. So unaweza nunua cement then ukafyatua tofali zako, ukajenga msingi n.k. mpaka utamaliza, so kila ukipata pesa peleka kwenye ujenzi.

Mimi nilifanya hivyo mpaka nikamaliza, hizi mambo za ku save BINAFSI nilikataa,

Don't save money while u have pending demands. Huko ni ku pause matatizo yako tu, na mwisho wa siku itakubidi uyatatue tena kwa gharama kubwa.

Ni sawa na mtu anayezima data akidhani amesave kumbe akija kuwasha ina consume mb zile zile, maana kama ni notifications zitakuja zote,
 
sina sehem ya kuweka hayo materials na naamini badda ya mwaka mmoja bei haitakua juu kiasi cha kupata deficit kubwa, hapo kwenye kufyatua matofari mbona kama changamoto, kwa hii dar kuna watu kwani bado wanafyatua wenyewe mtofari badala ya kunua yaliyo tayari, au ili upate tofari quality inabidi ufyatue mwenyewe.
 
Mimi nilianza hivi, niliongea na rafiki yangu akanipigia hesabu ya
Matofali
Mawe
Mchanga
Cement
Nondo
Ufundi.
Kiwanja nilikuwa nacho.
Kila mwezi nilikuwa nanunua kimoja nakamikisha.
Baada ya miezi 18 nikaita mafundi nikajenga boma nikapaua nikaweka grill madirishani na milango ya nje nikamwambia wife tuhamie. Ikikuwa 1999.
Wife akasema hakai kwenye pagale akaenda kupanga master safi town akakaa mie nikazama kwenye pagale.
Uchungu niliokuwa nao hela yoyote niliyoipata kila siku nilinunua chochote, hata kilo ya misumari sikuacha kisa sina hela.
Nikapiga ndani ya miezi 11 na geti la ku slide.
Hizo ni pamoja na hasira za kuachwa kisa pagale nilikonda kwa njaa na mawazo.
Eti alituma wazazi waje watupatanishe wakati nikijua alipata mimba ikaharibika sijui alitoa.
Huyo ni mama yangu mdogo kabisa sema alikosea kukuacha Mzee wetu
 
Back
Top Bottom