Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Historia inaonyesha kuwa mungu alikuwa anazungumza na wanadamu moja kwa moja na kuwapa maagizo musa aliitwa na mungu kwenda kupokea amri za mungu huko mlima sinai na alipo lejea alikuwa na vipande vya mawe (mbao) vilivyo kuwa na maandishi kwa hiyo vitabu vitakatifu viliandikwa na mungu
 
Historia inaonyesha kuwa mungu alikuwa anazungumza na wanadamu moja kwa moja na kuwapa maagizo musa aliitwa na mungu kwenda kupokea amri za mungu huko mlima sinai na alipo lejea alikuwa na vipande vya mawe (mbao) vilivyo kuwa na maandishi kwa hiyo vitabu vitakatifu viliandikwa na mungu
Unajuaje kwamba hayo yalitokea kweli na si story tu?
 
Mungu kanipa maono ya familia yangu tulivoishi na marafiki wabaya kanionyesha live katika ndoto nisiwaambie habari zangu acheni kubishana pia nimeokoka kanipa jina jipya achen kabisa kelele Bibilia ni kitabu soma na kabla hujasoma muombe roho mtakatifu akushukie ili upate kuelewa kwanza unayosoma ndo kinachowashinda watu
 
Wala huna haja ya kujicomplicate kihivyo Mkuu.

Haya maswala ya Qur'an (kwenye msahafu) na Injili (kwenye biblia), it's just simple like to push a drunkard

Fanya hivi;
Pitia/soma Qur'an (2:23) (10:38) (11:13)

Ukishafanikiwa kwa hayo ndo uje ulete tena huu uzi wako sasa!
 
Mungu anaona kila mahali! Mungu anaweza Yote!
Maandiko yote ni Kweli.
Mungu yupi unamaanisha hapo maan accrdng to christianity

Mungu mwana, Mungu roho na mtakatifu
Sasa nani anafanya maamuzi hapo?
1 mwana
2 roho
3 mtakatifu.
 
Ndio wewe mwenye kuabudu wayahudi unijibu Hilo, kwani wachina Wahindi na mimi ni kitu kimoja
Wapi nilipoeleza imani yangu na nini na naabudu nini humu?

Wewe ndiye uliyesema kuwa watu weusi wana dini yao na weupe dini zao ni ukristo na uislamu,ndiyo nikakuuliza hadi wahindi na Wachina nao dini zao ni ukristo na uislamu kwa sababu ni weupe?
 
Mungu yupi unamaanisha hapo maan accrdng to christianity

Mungu mwana, Mungu roho na mtakatifu
Sasa nani anafanya maamuzi hapo?
1 mwana
2 roho
3 mtakatifu.
hii kakufundisha nani mkuu? au ile taaluma yako ya saa habari humu tunakuita kauga, mkeo anakuita bwana, wanao wanakuita baba, jee sio wewe Wakristo wanampwekesha Mungu kihivyo kama unabishia tuwekee humu ayat moja tu toka Biblia Takatifu inayo sema Wakristo wana Mungu watatu
 
Back
Top Bottom