Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Karibuni mzimuni, mkutane na miungu yenu, tunawasubiri

Your finished hahaaaaa hahaha, njoo ndugu mzimuni. Hujachelewa, Mungu na miungu yako inakusubiri, karibu nyumbani mtoto, umeteseka vya kutisha, njoo mikononi mwao Bibi na Babu zako hatimaye. .... Come back home

Your so fun I even like you..

I like this, I real do, so funny
ngoja nikupe ilimu kidogo wazee wetu waliishi kiadilifu sana, na maombi yao yalimfikia Muumba wao bila tuta, aliwapa masharti kwamba kwa kuwa yeye yuko juu wakiwasha moto usiwe na moshi mwingi unamkera mama mmoja akakosea akakunga moshi ukamkera Imulungu akawa mbali na watu kila walichoomba hawapati hivyo walikuwa wanatoa maombi yao kwa wale wahenga ambao waliishi kiadilifu zile zama adilifu, ili wawapelekee shida zao kwa Muumba kwa njia hiyo walifanikisha...Muumba baada ya kuona zile shida za viumbe wake akajidhihirisha duniani ktk Umbile bora la kibinadamu ili kutusamehe yaliyo pita na kutuokoa...sasa matambiko ya nini na Imulungu yupo Karibu nasisi
 
Kwisha habari yenu, pepo ya wajinga', jehanamu ya waoga, dunia ya myahudi ndiye mwenye kuitawala
Na wabishi ndio kina sisi, waasi kwenye msitu wa itikadi na jangwa la wakweli
 
Mkuu ndiyo maana nimesema hatuelewani,kama hapo umeingiza masuala ya contradiction suala ambalo ni mbali na nilichokuwa nataka tujadili. Najua wewe unataka kujadili imani ya uwepo wa mungu na kwamba ina contradiction wakati mie sikuwa na nia ya kujadili hilo.

Hivyo si sawa kuniambia nimekukimbia.
Utawezaje kujadili chochote wakati msingi wa kujadili unaokupa uwezo wa kutenganisha hiki na kile, uthabiti wa kimantiki, umeukataa kwa kukumbatia contradiction?
 
Utawezaje kujadili chochote wakati msingi wa kujadili unaokupa uwezo wa kutenganisha hiki na kile, uthabiti wa kimantiki, umeukataa kwa kukumbatia contradiction?
Ok labda nikuulize wewe tulikuwa tunajadili? unalikumbuka swali la kwanza kabisa nilipo kuquote nilikuuliza nini?
 
Ok labda nikuulize wewe tulikuwa tunajadili? unalikumbuka swali la kwanza kabisa nilipo kuquote nilikuuliza nini?
Ukikumbatia contradiction utajuaje hata swali ni nini na jibu ni nini?

Kujua swali ni nini na jibu ni ninibkunataka uthabiti wa kimantiki, ukikumbatia contradiction unakataa uthabitibwa kimantiki.

Sasa utajuaje swali ni nini na jibu ni nini kama unakumbatia contradiction?

How do you tell what is a question and what is an answer if you embrace contradiction and shun logical consistency?
 
Mkuu tatizo unapenda uonekane ni mbishi humu Jf kuliko wote na hakuna anayekuweza,na ndiyo maana mie niliamua kusema kuwa tumeshindwa kuelewana ili tusifike huku. Hakuna hata sehemu niliyoeleza ninachoamini wala nisichoamini ila nashangaa haya ya mimi kukumbatia contradiction hata sijui yamefikaje!

Mkuu basi yaishe mshindi ni wewe hakuna anayekuweza kwa kubishana humu.
 
Utaelezaje unachoamini au usichoamini kama unakumbatia contradiction?

Utajuaje tofauti ya unachoamini na usichoamini kama unakumbatia contradiction?
 
Al-watani mwache wewe, humjui wala humuelewi, nitakutusi sasa hvi
Kama kutukana kunakufanya ujisikie vizuri basi basi wewe tukana tu na sio kunitishia kunitukana kama vile matusi yanaua,huyo Al-watan wako ambaye umejificha mgongoni mwake katika kushambulia imani za watu(kwa kudhani kufanya hivyo ndiyo kunafanya imani yako kuwa sahihi) kwa sababu wewe hauwezi hata kuelezea imani yako achilia kuitetea,huyo mie nilishaamua kuachana nae kwa amani tu kabisa kwa sababu hatuelewani ila ananiambia namkimbia.
 
Mkuu kwanini unasema nakosea kusema kuwa Qur'an imetungwa, usiniambie niamini nipe ushahid. Unaamije kwamba Muhammad alipokuwa anaandika qur'an kule pangoni alikuwa haongozwi na shetani, au alikuwa hajitungii mwenyewe. Kwann useme alikuwa anaambiwa na Mungu, why?
Kwanza Muhammad (SAW) alikua hajui kusoma wala kuandika hivyo yeye alihifadhi kichwani tuu
 
Back
Top Bottom