Nafikaje udsm(main campus)

Mkuu pale ubungo ungemuelekeza vzur kuhusu mwendo kasi, anawezaingia kwenye gari asilojua then pale faya ngoma ikakunja kulia.
Sasa watu wa tunduma sisi tunakuaga wabishi sana anaweza anza kubishana pale gerezani akitaka gari limpeleke mpaka feri.
Au la anaweza dai wamrudishie 350 maana safari haijaisha.
Ama anawezashuka gerezani akaanza kuilaumu serikali kwamba "yani jana tuu kivuko kilikuwepo hapa, leo hii me nafika kivuko kimetolewa".
 

Hatuwezi Kuendelea Tena Na Huu Uzi Kumfahamisha Chochote Kwasababu Yeye Mleta Uzi Haoneshi Kuleta Mrejesho Wowote hapa ili tujue Yuko Katika Situation gani Na Tumsaidie Vipi.

So, Kwa Upande Wangu Mjadala Nimeshafunga.
 
me nadhan kama ww ni mgen kabisa wa hii dar ni bora huyu mwenyeji wako afanye kukupeleka tu hadi apo UDSM
 
Mbo
Atoe maelezo mazuri anaweza kusaidiwa, kama unaenda kujoin chuo kunakuwa mzunguko ile wiki ya kwanza, hustle za Tuangoma mpaka UDSM kwa mgeni hili jiji ni changamoto.

Otherwise kuwe na mtu wa kumpokea ampeleke Tuangoma then UDSM, walau mara moja tu.
Vyuo vinafunguliwa November
 
Hatuwezi Kuendelea Tena Na Huu Uzi Kumfahamisha Chochote Kwasababu Yeye Mleta Uzi Haoneshi Kuleta Mrejesho Wowote hapa ili tujue Yuko Katika Situation gani Na Tumsaidie Vipi.

So, Kwa Upande Wangu Mjadala Nimeshafunga.

Watoa ushauri tunajipendekeza.
 
dsm siyo rahisi hivyo kama inavyohadithiwa humu,hata kama ni mjanja huko mikoan kwa hili jiji lazima upole na adabu vitamalaki.Kama kuna nyumba ya wagen karibu na ubungo ni vema akaelekezwa then usiku akishuka stend achukue bajaj apelekwe.
Changamoto ya kwanza itakayomkabili mgeni ni kutoka ndani ya ubungo stendi
 
Fika Ubungo shuka hapo rudi kwenye mataa,Fuata barabara ya kulia kwako (mwendo kama mita 800,_vuka upande wa pili utaona barabara inapandisha Mlimani.) Ukiwa hapo utaona Magorofa yapo kwenye mitimiti.Fuata hiyo barabara utavuka geti nendaaa utaone CoEt,nendaaaa utaona CoAF nendaaaaa utaona UTAWALA.Utakuwa umefika UDSM Main Campus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…