Ukweli ni kwmaba aliokueelekeza kkoo ni chaka magari ni ya shida sna. Na njia ya mbagaala ni ndefu ukitokea ubungo mpka ufike rangi tatu. Hizi option zote ngumu, njia fupi ni mwendokasi. Ukiweza ku manage kupnada gari. Mpaka kivukoni, basi kule usiwe na wasi wasi, wezi wa ferry wezi wa viroba. Hadi ukifika ferry mwizi mwenyewe anajua huyu mwenyeji. Sio rahisi sana labda uwe unauliza uliza kibwege. Chukua mwendokasi, kwa mida ukifika watu wa,kimara hakuna wa kwenda mjini, tena utapata hadi siti. Ktk mwendokasi. Mpaka kigamboni, kigamboni pale wewe sikiliza ukiskia kongowe kongowe kongowe. Panda, tua ngoma kituo kikubwa utamskia konda lazma ashushe. Kwa uhakika unakaa karibu na mlango anakua anakuona. Atakumbuka tu kukushusha. Then karibu mjini, unapata experience mbaya ya dar kutokana na huyo mwenyeji wako. Anakaaa makazi maapya. Tuangoma bado sana kuzoeleka.