KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,097
- 40,754
Ukishasajiliwa unalazimika kushinda hapo makao makuu mpaka upate lindo.....na gharama za kukaa hapo kwa maana ya kula na kunywa ni juu yako.....SASA haijulikani utakaa kwa muda gani mpaka upate lindo