Musangaa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 505
- 560
Unabisha Nini wewe? Au ni wale wanaowatumia watanzania Kwa manufaa ya mkanada na wao wenyewe? Bahati mbaya Tanzania Haina mifumo mizuri ya kufuatilia private sectors ila Kwa kweli hili kampuni ni la kinyonyaji. Sema ndiyo hivyo wabongo kama wewe kutokana na uwezo wako unaona wanafanya vyema. Huo ni ukoloni mamboleo
Unahitaji msaada wa kisaikolojia