Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Na ikiwa una Elimu na unajua lugha ya kiingereza kuna ongezeko lolote unaweza kupata ?.na hapo mi ni mlinzi wa kawaida ila kama una kacheo kidgo Huwa inaongezeka 100k nakuendele
Na ikiwa una Elimu na unajua lugha ya kiingereza kuna ongezeko lolote unaweza kupata ?.na hapo mi ni mlinzi wa kawaida ila kama una kacheo kidgo Huwa inaongezeka 100k nakuendele
😄😄😄😄☝️☝️wenye degree tuko wengi mkuu kuhusu lugha asilimia 70 lugha inapanda Kwa mfano sehem kama za ubalozini kule bila lugha huwezi kufanya kazi Cha msingi ukienda Huwa zinatoka nafas za kazi wanatoa kipaumbele Kwa walinzi wenye elimu nafas nyingi sio ulinzi tu pia ukiwa huku ni rahisi kupata connection Kwa mfano waliosoma finance mabank mengi tunalinda sisi Kwa hiyo ni rahisi kupata kama crdb Nina wanangu 4 wameajiriwa kule walikuwa walinzi mwanzo so usije na mentality kwamba huku utakutana ni vilaza hapna wengi humu wapo kama daraja la kwenda sehem nyingne.Na ikiwa una Elimu na unajua lugha ya kiingereza kuna ongezeko lolote unaweza kupata ?.
Afu kazi yenyewe ulinzi?Tangazo limekaa kidwanzi sana. Yaani dunia ya leo mtu atoke Mbambabay huko apeleke barua ya maombi kwa mkono Dar..!!??
Huo ni mshahara au posho?..p.p....
.lp.
mi mwisho wa mwezi baada ya makato yote nachukua 370+
CC Isaack NewtonAfu kazi yenyewe ulinzi?
Unazungumzia hawa wa kwenye malindo au wengine wanaolipwa kima cha chini 380+??Kima Cha chini 380+ nssf bima nssf nk kwenye malipo hawazingui kama una elimu vipi vitengo vingne utaomba huko humo mishahara mizur
Kila wiki wanaajiri, ni kwamba wanapata malindo mapya au watu nao wanaacha kazi au kutimuliwa kila wiki?inategemea wanaweza kumwambia acha baru tutakuita au ikawa pale pale hata wakikwambia tutakuita haiwez kupitia siku 5 au week Huwa ni chapu maana Kila week Wana ajiri
Ok, inategemea. Nilishawahi kufanya kazi CELTEL wakati huo, na hawa wa makampuni ya ulinzi nilikuwa nadili nao mimi. Kwa maana ya kuzipitia invoices zao na kuwanyang'anya au kuwapa minara mipya. Malipo kwa kila mlinzi anayelinda na bunduki iliyopo kila mnara wa simu nilikuwa najua gharama zake. Hivyo nazijua sana hizi kampuni za ulinzi. Kupata 370+ si kwa kila mtu. Wale wa kulinda aliyekuwa anavuka 150,000/- wachache sana. Naijua GARDA WORLD tangu enzi za KK...p.p....
.lp.
mi mwisho wa mwezi baada ya makato yote nachukua 370+
mkuu Yanini tubishane kipindi hicho basic ilikuwa 150 serikali walipandisha asaiv basic 220k ukijumlisha na overtime Huwa tunafka mbaka 390k ww unazungumzia kampuni ya kipindi hicho kiufupi ukienda g4s SGA zote hizo mshahara ni zaid ya 370+ kama utaendelea ligi nakutumia slip salary yangu uoneOk, inategemea. Nilishawahi kufanya kazi CELTEL wakati huo, na hawa wa makampuni ya ulinzi nilikuwa nadili nao mimi. Kwa maana ya kuzipitia invoices zao na kuwanyang'anya au kuwapa minara mipya. Malipo kwa kila mlinzi anayelinda na bunduki iliyopo kila mnara wa simu nilikuwa najua gharama zake. Hivyo nazijua sana hizi kampuni za ulinzi. Kupata 370+ si kwa kila mtu. Wale wa kulinda aliyekuwa anavuka 150,000/- wachache sana. Naijua GARDA WORLD tangu enzi za KK.
CC Isaack Newton
wanapata Malindo na watu wanastaafu tuko karbu 5000 fikiria hapo Kuna wagonjwa Kuna wanaoacha kazi Kuna wanao staafu nkKila wiki wanaajiri, ni kwamba wanapata malindo mapya au watu nao wanaacha kazi au kutimuliwa kila wiki?
Tusaidieni anuani sasawanapata Malindo na watu wanastaafu tuko karbu 5000 fikiria hapo Kuna wagonjwa Kuna wanaoacha kazi Kuna wanao staafu nk
Kasema unapeleka maombi kwa mkono..!!! Anwani ni Mikocheni Dar. Kama sijakosea, ni pale mbele ya kwa NyerereTusaidieni anuani sasa
Hii sehgemu ya comment inapswa iwekwe kweny post ya kwanza.Kwa mfano waliosoma finance mabank mengi tunalinda sisi Kwa hiyo ni rahisi kupata kama crdb Nina wanangu 4 wameajiriwa kule walikuwa walinzi mwanzo so usije na mentality kwamba huku utakutana ni vilaza hapna wengi humu wapo kama daraja la kwenda sehem nyingne.
😄😄😄😄☝️☝️wenye degree tuko wengi mkuu kuhusu lugha asilimia 70 lugha inapanda Kwa mfano sehem kama za ubalozini kule bila lugha huwezi kufanya kazi Cha msingi ukienda Huwa zinatoka nafas za kazi wanatoa kipaumbele Kwa walinzi wenye elimu nafas nyingi sio ulinzi tu pia ukiwa huku ni rahisi kupata connection Kwa mfano waliosoma finance mabank mengi tunalinda sisi Kwa hiyo ni rahisi kupata kama crdb Nina wanangu 4 wameajiriwa kule walikuwa walinzi mwanzo so usije na mentality kwamba huku utakutana ni vilaza hapna wengi humu wapo kama daraja la kwenda sehem nyingne.
wanapata Malindo na watu wanastaafu tuko karbu 5000 fikiria hapo Kuna wagonjwa Kuna wanaoacha kazi Kuna wanao staafu nkKila wiki wanaajiri, ni kwamba wanapata malindo mapya au watu nao wanaacha kazi au kutimuliwa kila wiki?
🙏🙏Hii sehgemu ya comment inapswa iwekwe kweny post ya kwanza.
Mana ina ujumbe ulioshiba.
box 12747Tusaidieni anuani sasa
kuna ofc tatu Kwa mwingi na Kwa warioba ila sehem wanakopokea barua ni kule chini mlalakia ndani ndani huko ngumu hata kumuelekeza mtu maana hakuna changamka mbaka upelekwe Kuna nyumba ya ubalozi kama sikosei ni djbout ila akifika ofcn wanampa maelekezoKasema unapeleka maombi kwa mkono..!!! Anwani ni Mikocheni Dar. Kama sijakosea, ni pale mbele ya kwa Nyerere