Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Ukweli ni kwamba kuna watu pale wanafanikisha na wengine hawafanikishi kutokana na sababu kama ambazo nimezisema hapo
Sasa kama katika watu 20 mnaajiriwa wawili kupitia teachers junction huoni watu 18 wametapeliwa, wanachofanya ni kua na kashule kamoja alafu wanaitisha watu lukuki ili kupata pesa tena wakati mwingine hawana hata shule.Taasisi inayochukua professional teachers ni government pekeyake bt private ni interview kati ya professional na non-professional...
Uko chuo Gan mkuuMkuu mi nmeshawai kufika kwa hawa jamaa sema wengi wa walimu wanaofika pale ni Arts/ walimu wa sanaa primary au secondary na hata kuwaita wote ktk interview naonaga inakuwaga shida..
Mimi nlkuwa npo chuo mwaka fulani nikaacha mwaka mzima sikwenda, then nikaenda kwa hawa jamaa 2016 jan wanitafutie sxul ya kupiga mwaka mzima na mm sio mwalimu by professional bt walinitafutia school mbilo dsm na Kilimanjaro nikafanikisha ya kilimanjaro lakini kwa Masomo ya Science (Physcics na Chemistry) nkawa nachukua mshahara fresh tu na hapo nlkiwa cjamalza chuo now nmerudi chuo napga ktabu fresh na mafao yangu Nssf na Mshahara wangu na mkopo wa Heslb fresh
course Gan??MUST.
Nashangaa maana hapo sidhan Kama kuna course ya education hapo....naww unasema n teacherduh kama interview vile..
Kama umeptia university lazima utakuwa unajuana hiki chuo wanatoa course zip...
MUST ndio Ilikua MIST zamani au ni chuo kipi mkuu au kiko mkoa ganMUST.
Rudia nilichosema kule juu mm co professional soma juu hapoNashangaa maana hapo sidhan Kama kuna course ya education hapo....naww unasema n teacher
Unapokuwa muongo unatakiwa uwe na kumbukumbu na ww sio Mara ya kwanza kukuona ukiulizia mambo ya kufundisha.Angalia hii id ni ya tangia lini mkuu...mimk sio kwamba natetea bali nmesema yale niliyokutana nayo pale dats why nmesema hvyo...
Shule nyingi za private wanaofundisha wengi sio by professional.
Kwa mfano mimi interview yangu nilifanya na professional wawili wa hayo masomo kabisa lakini katika interview mimi nikapita na wale wengine wakaachwa ni kwa sababu wanaangalia..
1) marks zako za olevel
-mimi olevel physics nlkuwa na "B" na Chemistry nlkuwa na "A" tofauti na wale wengne
2) marks zako za advance.
-mimi nlkuwa na Physics "D" na Chemistry "C" tofauti na wale professional
3)
Mkuu eti kapicha ka mtoto wa kiume wa nchama,dah kweli unawajua vilivo asee, umesahau pia anapenda kugongea hela ya chips kuna jamaa yake jirani hapo anauza chips!!Tanzania imefikia kubaya watu wanasumbua watanzania wenzao ili kupata pesa, Wale hawana lolote
Mbinu yao wanatangaza mshahara mnono ili mtu akiona anatoka mbio mbio kwenda kwao kumbe hamna kitu wala hizo shule hazipooo
Nchama noma sana yule jamaa, hajawahi kua mwalimu wala kusoma ualimu lakini anaendesha usaili wa walimu--- Only in Tanzania hii
Kiofisi chao kidogo kama frem ya duka, kuna meza mbili, meza moja ina picha ya mtoto wa Nchama wa kiume, kuna mashine kubwa ya photocopy, kuna sofa moja, mbele ya ofisi kuna basi bovu limepaki, mbele (kushoto) kuna kituo cha Polisi Magomeni.
Ukifika pale wanazuga kukusajili, unalipa ada, wanakwambia toa copies za vyeti unatoa kwenye mashine yao (unalipia), wanakwambia tutakupigia simu shule zikiwa tayari hapo wanakupotezea, ukikaa ukiwapigia wanakwambia njoo kesho ukienda wanakuzuga bhana umechelewa wenzako wameenda kwenye usaili njoo wiki ijayo, ukienda wanakwambia ile shule imeghairi kusaili watu subiri kuna shule iko Pwani, kibaha sijui Dar inahitaji mwalimu tunafanya mchakato uende wewe.
Yaani watakuzungusha mpaka utaacha mwenyewe
Nashukuru jamaa yangu alipata bahati akaajiriwa serikalini mapema tu saivi anakula maisha huko Iringa.
Hiyo kuweka kiwango cha mshahara kimenipa wasiwasi... Mtu akiona atalipwa laki sita,elfu kumi itakua rahisi kutoa ili kujisajiri. Wanacheza na akili za watu hawa!!!Wapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,
Hawa teachers junction wanachofanya ni kuhakikisha kila anayefika kwao anajisajili na kutoa ada kama 10,000 TZS kisha wanampotezea, sasa kwa kawaida nafasi kama hii watajitokeza watu hata 50 na wote watatoa ada ya kujisajili.
Mwanajamii forums kua makini na teachers junction, ukiamua kutafuta shule tafuta kivyako usiende kwa hawa jamaa utapoteza muda na pesa ya ada na nauli za kila siku.
Nawajua vema hawa jamaa hunidanganyi kitu kiongozi wao anaitwa Nchama jamaa flani mfupi ana mwili mdogo mdogo, nje ya ofisi yao kuna gari kubwa (basi) limepaki la miaka mingi sidhani kama lilishatoka, ni karibu na kituo cha polisi Magomeni.
Nilifika pale 2014.
Nakushauri Mr. Nchama tafuta kazi nyingine awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja, kama unabisha ntamwaga kila kitu hapa mzee