Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

May 28, 2015
64
11
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
 
Workshop training atajifunza lesson
plan,class management,nature of
interviews,students
behaviors,blackboard management
na mengine mengi.

Ina maana kuna mwalimu hajui hayo.
 
Hapana kuna mwalimu ambae alisoma ualimu na alikuwa nje ya field hiyo kwa muda hivyo akienda kwa interview amesahau mengi.

Lakini pia naamini ungekuwa mwalimu ungejua kinachomaanishwa.

Ndani ya field yetu kuna training au workshop ambazo huja wataalamu kwenye mashule na kukumbushana mambo muhimu ili kuimarisha taaluma
 
Wacha kukariri kijana.
Watu wote hawapo kukutapeli.
Kama sio mwalimu na haikuhusu kaa kimnya.

Tunafanya hivyo since 2013 mpaka sasa humu if na kwenye magazeti
 
hiyo training ni lazima mtu aje dar hata kama anaishi kigoma? na kwa uzoefu wenu inachukua muda gn toka kujisajili mpaka kupata ajira?
 
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
Nimemaliza chuo mwaka Jana...ninatafuta ajira nipo dar. Hivyo nitafika katika ofisi zenu
 
Ahsante wana jf kwa jitihada zenu.
Mpaka sasa tumefanikiwa kupata walimu 18 since tumepost hili tangazo.
Walimu 12 wamekamilisha usajili na walimu 8 Kati yao wameshafanya Interviws na Sita wamedhachukuliwa wataanza mwezi 7.
Wawili hawajafanikiwa.
Waliobakia this week tunaamini tutafanikiwa.
Thanks
Na mungu awalipe kwa kutuunga mkono.
Mahitaji makubwa hivyo haki ukimfahamisha ndugu, jamaa na rafiki na msaada mkubwa.
Jana tulikuwa chuo cha mwalimu nyerere kupresent na soon tutafika mlimani, Duce, Tumaini, St,. John's nk.
We mean what we are doing.
 
MKUU
UNGEWEKA PICHA.
 
Back
Top Bottom