Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

May 28, 2015
64
11
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
 
Anaepewa training ni mwalimu yupi kuweni wazi. Hivi inawezekana kabisa mtu ndio katoka chuo kujifunza hayo mambo yote.halafu aje.alipe tena ilafundishwe tena yaleyale? Na mwalimu zoefu je?
Nadhani mngesema kwa wale ambao hawakusomea ualimu na wangependa(wamelazimika) kufundisha ndio wapate.hiyo semina.Vinginevyo semeni kuwa kujirejista ni 20000 na.sio ishu ya training wala nini.
 
Habari wana jamii forum.
Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo tunapokea order kutoka kwa shule ikiwemo shule iko wapi,inalipa kiasi gani, inatoa nini (chakula,nyumba usafiri nk) kisha tunampeleka mwalimu kwa ajili ya interview huku akifahamu mpaka aina ya interview.

kwa sasa tuna mahitaji makubwa ya walimu kuanzia ngazi ya Nursery,Primary,Ordinary na Advanced level.
uhitaji ni mkubwa hivyo tunapokea mwalimu amabae amemaliza chuo,anayefanya kazi, anayetaka kubadili,ambae yuko mtaani anatafuta na ambae amewahi kufundisha.

mwalimu huyu atapimwa, atasajiliwa,atafanyiwa workshop training kisha atapewa nafasi tatu kufanya interviews kwenye shule tofauti.
Nb:
Kama mwalimu hana sifa hataruhusiwa kufanya Registration wala hatafanya malipo yoyote ila tutamshauri nini cha kufanya.

mwalimu anaombwa kuja kwetu akiwa na cv,copies za vyeti vyake na picha tatu za passport size.
Registration fee ni 20,000/= workshop training ni BUREEEEEEEE
Workshop training atajifunza lesson plan,class management,nature of interviews,students behaviors,blackboard management na mengine mengi.

Registration kwa sasa zinafanyika:
Magomeni mapipa Dar es salaam
pia tunapatikana morogoro,pwani na soon mkoani mwanza na Mbeya.

kwa maelezo zaidi tupigie:
+255(0)713-810857 Pwani
+255(0)753-810857 Dar es salaam
+255(0)783-810857 Morogoro
kwa walioko mkoani mnaweza kufanya online or mobile registration:

E-mail: teachersjunction@hotmail.com
unaweza kutu-follow:
Instagram: @teachersjunction
twitter: @teachersjunction

Proud to be a Teacher,proud to have school of your echelon.
 
Teachers Junction ni kitu gani? Inatambulika vipi kisheria nchini? Kwanini mnampa semina mwalimu amabaye amefudhu mafunzo ya ngazi ya Grade 3A, Diploma au Degree?
 
Ahsante wana jf kwa jitihada zenu.
Mpaka sasa tumefanikiwa kupata walimu 18 since tumepost hili tangazo.
Walimu 12 wamekamilisha usajili na walimu 8 Kati yao wameshafanya Interviws na Sita wamedhachukuliwa wataanza mwezi 7.
Wawili hawajafanikiwa.
Waliobakia this week tunaamini tutafanikiwa.
Thanks
Na mungu awalipe kwa kutuunga mkono.
Mahitaji makubwa hivyo haki ukimfahamisha ndugu, jamaa na rafiki na msaada mkubwa.
Jana tulikuwa chuo cha mwalimu nyerere kupresent na soon tutafika mlimani, Duce, Tumaini, St,. John's nk.
We mean what we are doing.
 
Yani Nyie ni walimu ila strategies ya kumshawishi mwalimu awatafute bado sana maana mda nimekuwa nikiwaona umu mkitiitaji walimu kama si mwaka wa pili na nusu basi miwili na kitu

Na changamoto mnayoipata umu mnaitwa matapeli sijui nini kwanini watu baadhi Wana wabeza huu hamuendi na wakati pili mbinu ya biashara sijui hamjui au ubahiri wenu kwaiyo jinsi mlivyojibrand mtu anahisi Nyie wahuni fulani tu kwani mda wote huu mnakwepa garama za kugaramia matangazo kwenye radio magazetini na kwenye blogs

Uko muende mkajitangaze vizuri ikiwezekana mnaweka na ushuhuda wa baadhi ya walimu na shule mliofanya nao kazi wanasemaje nk

Hii itasaidia kumshawishi nguvu kazi mnapoitaji

Sasa Nyie kila siku mpo jf porojo porojo tu nani atawamini msitake faida kabla ya hasara wekezeni pesa ili mpate pesa

Ikiwa mpo busy na majukumu nipeni hilo jukumu la marketing tu mwezi mmoja uone mtakimbia walimu hapo
 
Back
Top Bottom