Nafasi za kazii kwa walio soma TEACHING....

isackkallindi

Member
Jan 10, 2014
25
21
Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani.
Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry
Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana.
Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/

Nyingine iko Bagamoyo pwani.
Awe na mathematics
Mshahara 700, 000/ hadi 750, 000/

Aliekuwa tayari kuifanya awasiliane na Teachers Junction

Teachers Junction is an organsation which provides networks between Teachers and schools.

In one way we pave ways for teachers to get schools of their achelion on the second side we help school to achieve its mission and vission with strategies knowlge and strategies.

For more information
E-mail :
teachersjunction@hotmail.com

Call: +255713 810857
+255753 810857
Dar es saama
Coast
Morogoro
 
Wapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,
Hawa teachers junction wanachofanya ni kuhakikisha kila anayefika kwao anajisajili na kutoa ada kama 10,000 TZS kisha wanampotezea, sasa kwa kawaida nafasi kama hii watajitokeza watu hata 50 na wote watatoa ada ya kujisajili.

Mwanajamii forums kua makini na teachers junction, ukiamua kutafuta shule tafuta kivyako usiende kwa hawa jamaa utapoteza muda na pesa ya ada na nauli za kila siku.

Nawajua vema hawa jamaa hunidanganyi kitu kiongozi wao anaitwa Nchama jamaa flani mfupi ana mwili mdogo mdogo, nje ya ofisi yao kuna gari kubwa (basi) limepaki la miaka mingi sidhani kama lilishatoka, ni karibu na kituo cha polisi Magomeni.

Nilifika pale 2014.

Nakushauri Mr. Nchama tafuta kazi nyingine awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja, kama unabisha ntamwaga kila kitu hapa mzee
 
Duuh..kumbe hadi unawajua
Yaani nawajua in and out
Niliwahi kufika pale, nilimpeleka jamaa yangu ni mwalimu, kwa kipindi kile alikua hajapata ajira ndo akaniambia nimpe kampani akawaone wajamaa wa teachers junction, walimsumbua sana jamaa yangu maana nilikua naishi nae home kwetu kwa hiyo kila hatua aliyokua anapitia jamaa niliijua.

Mwanajf ambae hatazingatia ushauri wangu basi asijekulalamika hapa akitapeliwa.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana,, mi pia huo huo mwaka 2014 nilienda hapo kwa jamaa nchama migo nilitoa elf 10 Ada halafu nikapigwa msasa kama wiki ivi nah, ili nifundishe mathematics o level shule moja private lakin
Nilichokiona ni ubabaishaji tu kwenye hizo shule tulizoenda yani wanakuwa kama hawakutambui ivi halafu hawaonyeshi shida ya kutaka walimu,sasa baada ya hapo ukikosa nafasi hiyo ukirudi kwa jamaa nchama anakupotezea kabisa..Na elf10 yako ndio imeondoka dah nikaamua kufanya mambo mengine... Kwa iyo nami nawaasa mtakao enda hapo mjue haya na mishahara si kweli kama anavodai unaweza kwenda kukuta hali tofauti na bwana nchama alivokwambia. Ova
 
Duuuh nlitaka niende nmeahirisha aisee
 
Watu ni matapeli wa kutupwa huyu Nchama hajawahi hata kusoma ethics za ualimu eti anaendesha usaili wa walimu huu si uchizi jamani
Hizo nafasi kwanza hazipo huyo anatafuta kupata ada za watu tu.
Maajabu ya jf bado kuna watu wataenda kwa Nchama
 
Wapuuzi mnataka watu waende teachers junction hamna lolote,
Hawa teachers junction wanachofanya ni kuhakikisha kila anayefika kwao anajisajili na kutoa ada kama 10,000 TZS kisha wanampotezea, sasa kwa kawaida nafasi kama hii watajitokeza watu hata 50 na wote watatoa ada ya kujisajili.

Mwanajamii forums kua makini na teachers junction, ukiamua kutafuta shule tafuta kivyako usiende kwa hawa jamaa utapoteza muda na pesa ya ada na nauli za kila siku.

Nawajua vema hawa jamaa hunidanganyi kitu kiongozi wao anaitwa Nchama jamaa flani mfupi ana mwili mdogo mdogo, nje ya ofisi yao kuna gari kubwa (basi) limepaki la miaka mingi sidhani kama lilishatoka, ni karibu na kituo cha polisi Magomeni.

Nilifika pale 2014.

Nakushauri Mr. Nchama tafuta kazi nyingine awamu hii hakuna kuishi kwa ujanja ujanja, kama unabisha ntamwaga kila kitu hapa mzee
Mwaga tu kaka manake wameona kuwafanya watu wajinga kwa kutafuta njama zinazofanana na ukwel ili kuwapata wat kilahisi na kuchukua pesa kiurain,kwan wao hawan ndugu zao wawachukue ndo wafanye kaz ili tuone mwelekeo achen wiziii
 
Watu ni matapeli wa kutupwa huyu Nchama hajawahi hata kusoma ethics za ualimu eti anaendesha usaili wa walimu huu si uchizi jamani
Hizo nafasi kwanza hazipo huyo anatafuta kupata ada za watu tu.
Maajabu ya jf bado kuna watu wataenda kwa Nchama
Eti kujarib bahat!nenda ukajitie nuksi
 
Mwaga tu kaka manake wameona kuwafanya watu wajinga kwa kutafuta njama zinazofanana na ukwel ili kuwapata wat kilahisi na kuchukua pesa kiurain,kwan wao hawan ndugu zao wawachukue ndo wafanye kaz ili tuone mwelekeo achen wiziii
Tanzania imefikia kubaya watu wanasumbua watanzania wenzao ili kupata pesa, Wale hawana lolote
Mbinu yao wanatangaza mshahara mnono ili mtu akiona anatoka mbio mbio kwenda kwao kumbe hamna kitu wala hizo shule hazipooo

Nchama noma sana yule jamaa, hajawahi kua mwalimu wala kusoma ualimu lakini anaendesha usaili wa walimu--- Only in Tanzania hii

Kiofisi chao kidogo kama frem ya duka, kuna meza mbili, meza moja ina picha ya mtoto wa Nchama wa kiume, kuna mashine kubwa ya photocopy, kuna sofa moja, mbele ya ofisi kuna basi bovu limepaki, mbele (kushoto) kuna kituo cha Polisi Magomeni.

Ukifika pale wanazuga kukusajili, unalipa ada, wanakwambia toa copies za vyeti unatoa kwenye mashine yao (unalipia), wanakwambia tutakupigia simu shule zikiwa tayari hapo wanakupotezea, ukikaa ukiwapigia wanakwambia njoo kesho ukienda wanakuzuga bhana umechelewa wenzako wameenda kwenye usaili njoo wiki ijayo, ukienda wanakwambia ile shule imeghairi kusaili watu subiri kuna shule iko Pwani, kibaha sijui Dar inahitaji mwalimu tunafanya mchakato uende wewe.
Yaani watakuzungusha mpaka utaacha mwenyewe

Nashukuru jamaa yangu alipata bahati akaajiriwa serikalini mapema tu saivi anakula maisha huko Iringa.
 
Mkuu mi nmeshawai kufika kwa hawa jamaa sema wengi wa walimu wanaofika pale ni Arts/ walimu wa sanaa primary au secondary na hata kuwaita wote ktk interview naonaga inakuwaga shida..
Mimi nlkuwa npo chuo mwaka fulani nikaacha mwaka mzima sikwenda, then nikaenda kwa hawa jamaa 2016 jan wanitafutie sxul ya kupiga mwaka mzima na mm sio mwalimu by professional bt walinitafutia school mbilo dsm na Kilimanjaro nikafanikisha ya kilimanjaro lakini kwa Masomo ya Science (Physcics na Chemistry) nkawa nachukua mshahara fresh tu na hapo nlkiwa cjamalza chuo now nmerudi chuo napga ktabu fresh na mafao yangu Nssf na Mshahara wangu na mkopo wa Heslb fresh
 
Tatizo pale walimu wa Arts (secondary na primary) ndo utasumbuka kimtindo lakn kama ni sayansi ni wachache sana hata wanaoenda kufanya interview ni wachache sana...
Lakini kama mtu anaona anaenda kutapeliwa aache kabisa kwenda kuliko kuwa na mashaka na unapoenda ukaona unaliwa pesa yako hiyo na siku hizi registration pale ni 20000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom