Mkuu hata zile tenders za NGO's, Private Companies, na Za Serikali kama utakuwa na access nazo au links unaweza kuattach briefly utasaidia wengi. Japokuwa Jamii Opportunities ipo pia lakini haiwezi kutosheleza kila angle.Hello members
Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia.
I hope hii itawasaidia wahitaji.
Best Regards,
Seran🖤
Hii bar nilishalewa hapo , hii sio bar ni danguro🚮