Awe msomi kuanzia degree
Afanye kazi TRA, Bandari, Bot, hamna hamna awe mkurugenzi.
Atoke royal family akibidi awe mjomba wake ni bakhresa ay Gsm
Tajiri
Tall and handsome
Mcha Mungu na mpole
Asinywe pombe
Akikuudhi apige goti
Husband material
Awe na garage ya Magari mama tunachagua tu
Vacation Dubai hamna hamna Zanzibar
Ajue kutafuna vizuri
Awe anajua hisia zako,,, yaani ukinuna kidodo aje na bunches of flowers
Ukibeba mimba awe anaidekeza ( anuse kwamba, ahangaike kijana watu yaani mpaka akome.
Akupeleke kanisani kila jumapili
Muwe wote kila saa
Akuposti kila mara kama tangazo la msiba.
Nasikiaga vitu kama hivyo