Kampuni yetu inayojishughulisha na utengenezaji wa vinywaji vikali na wines inazo nafasi za kazi zilivyotajwa hapo juu katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi na Shinyanga, Simiyu na Geita.
Tunakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa zifuatazo:
Maombi yote yatumwe kupitia kwenda kwenye barua pepe: tanvanille@gmail.com na kutufikia kabla ya Jumatatu, tarehe 5/12/2016
Tunakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa zifuatazo:
- Ubunifu wa mikakati ya kutafuta, kujenga, kuimarisha masoko na kudumisha wateja.
- Uwezo wa kujieleza kwa ufasaha na stadi za kuwasilisha mada kwa kuendana na hadhira.
- Uenyeji na utengamano mzuri na wadau wa vinywaji kama vile wauzaji vinywaji kwa jumla, rejareja, bar, hotel n.k
- Tabia ya kuanza kazi kwa kuweka malengo na kuyafikia bila kutafuta sababu za kushindwa.
- Uaminifu juu ya pesa, mali na asiye na historia ya wizi au dhuruma.
- Asiye na kikwazo cha kiimani katika uuzaji wa bidhaa aina ya pombe.
- Umri wa kuzaliwa usiozidi miaka 28.
Maombi yote yatumwe kupitia kwenda kwenye barua pepe: tanvanille@gmail.com na kutufikia kabla ya Jumatatu, tarehe 5/12/2016