Ngwega
JF-Expert Member
- Aug 6, 2019
- 589
- 626
Ulicholenga kama kimefanikiwa mkuuMrejesho wa nini Mkuu ?
Ulicholenga kama kimefanikiwa mkuuMrejesho wa nini Mkuu ?
Kweli we #CHAWA
Kwa hyo umejifunza njia za kutoa faraja kwa watu wa jinsia kama yangu tu.. Na hao kaka zetu wanaochunwa je?
[/QUOTE
Nisaidie wewe kwa upande wa kaka zetu maana nchi hii inajengwa na watu wote .
Naomba kuwasilisha
Kunywa maji mengi kwanza moyo uelee Comrade .
Unabet maisha
Alokwambia wanakosa faraja Nani? Wakati watoto wapo wa kuwafariji.
Kapambanie maisha uache vya bure watakujamesdelicious.