Nafasi ya kujitolea kwa mwanamke aliyeachwa/ mpweke/mjane /single mother /aliyetendwa

Kweli we #CHAWA


Kwa hyo umejifunza njia za kutoa faraja kwa watu wa jinsia kama yangu tu.. Na hao kaka zetu wanaochunwa je?
[/QUOTE

Nisaidie wewe kwa upande wa kaka zetu maana nchi hii inajengwa na watu wote .

Naomba kuwasilisha
 
Unabet maisha

Alokwambia wanakosa faraja Nani? Wakati watoto wapo wa kuwafariji.


Kapambanie maisha uache vya bure watakujamesdelicious.
 
Unabet maisha

Alokwambia wanakosa faraja Nani? Wakati watoto wapo wa kuwafariji.


Kapambanie maisha uache vya bure watakujamesdelicious.

Mkuu

Mwombe sana mwenyezi Mungu akuondelee huo mtazamo sio mzuri na athari zake ni kubwa sana kama hautawahi kutafutia tiba mapema.

Nikusihi jitahidi sana nyakati za asubuhi na jioni ujiangalie kwenye kioo na utamke MIMI SIO SHETANI MIMI SIO SHETANI.

Kuna nafuu utapata Mkuu.
 
Back
Top Bottom