Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,137
- 11,398
Zingatia vigezo ndugu mwalimuVipi aliyesoma Engineering hafai hapo?
😂😂😂Zingatia vigezo ndugu mwalimu
Hao wameisha mtaani labda wakatafute mwaka wa tatu chuo huko ndo wenzao wanavofanya
Nimeona week zile wamefululiza balaa kuwaita! Aisee tubarikiwe na wengine sasa walimu wametosha🙌🏾Hao wameisha mtaani labda wakatafute mwaka wa tatu chuo huko ndo wenzao wanavofanya
Walimu wa math & phys wameisha mtaaniNimeona week zile wamefululiza balaa kuwaita! Aisee tubarikiwe na wengine sasa walimu wametosha🙌🏾
Sijui kwakweliWalimu wa math & phys wameisha mtaani
Ungeweka na kigezo cha akili timamu mkuu..Zingatia vigezo ndugu mwalimu
Ww uolewe na mwalimu mmoja wa mathNimeona week zile wamefululiza balaa kuwaita! Aisee tubarikiwe na wengine sasa walimu wametosha🙌🏾