Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,527
- 31,504
Kwa ule wazimu wao yuko radhi aogelee kwenye mafuriko ili awahi kipindi!! Siwezi🙌🏾Ww uolewe na mwalimu mmoja wa math
Kwa ule wazimu wao yuko radhi aogelee kwenye mafuriko ili awahi kipindi!! Siwezi🙌🏾Ww uolewe na mwalimu mmoja wa math
Kwa ule wazimu wao yuko radhi aogelee kwenye mafuriko ili awahi kipindi!! Siwezi🙌🏾
Hawa wapya masharo kwel kwelKwa ule wazimu wao yuko radhi aogelee kwenye mafuriko ili awahi kipindi!! Siwezi🙌🏾
Na uzee huu masharobalo napeleka wapi nawaza pesa tuu😃Hawa wapya masharo kwel kwel
Mtoto mbishi kabsa wewe slid tundu moja inatoshaNa uzee huu masharobalo napeleka wapi nawaza pesa tuu😃
Linatosha kabisa! Ila vijana siwawezi🙌🏾Mtoto mbishi kabsa wewe slid tundu moja inatosha
Bas nitakuja PM mm mwenyw mkonge si naul had uku tandahimba haizid elf15 kutokea hapo rufiji?Linatosha kabisa! Ila vijana siwawezi🙌🏾
Kwa hiyo sisi tulio ishia form 2 ndiyo basi tena japo tuna uwezo kuliko hao maprofesa 🙂Anahitajika Mwalimu wa Physics
Tunatafuta mwalimu wa Physics
Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365
Asanteni
Nauli ninayo nitakuja mwenyewe! Ila si ndio tutakuwa kama diamond na zuchu huko😅Bas nitakuja PM mm mwenyw mkonge si naul had uku tandahimba haizid elf15 kutokea hapo rufiji?
KabsaNauli ninayo nitakuja mwenyewe! Ila si ndio tutakuwa kama diamond na zuchu huko😅
Engineer ni.l zaidi ya mwalimuZingatia vigezo ndugu mwalimu
Shule gan hiyo?Wataita tu mpaka mainjinia maana walimu Wa phy now ni adimu saana Kuna shule naifahamu mshahara ni million 1 ila Toka mwezi Wa kwanza mpaka Leo Bado hawajapata mwalimu Wa phy