Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 7,169
- 26,788
Wakuu poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale.
Familia yangu inatafuta dereva mwenye leseni class D na kuendelea (E, C...) kwa ajili ya gari ndogo ya nyumbani ikijumuisha kupeleka watoto shuleni na kazi zingine zihusuzo kuendesha gari kwa mchana tu. Kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa familia inapendelea dereva mwanamke anayejiamini, anaejua kazi yake na mwenye weledi barabarani.
Kama wewe ni mmoja wapo au unamfahamu mdada mwenye sifa hizo karibu sana pm kwa maelekezo mengine au tupia namba yako hapa nikutwangie
Shukrani za kipekee kwenu wote