Nahita kazi ya udereva

TERNe

Member
Sep 22, 2023
89
93
Natafuta kazi,
Mimi nikijana wa miaka 25... Nlikua nafanya kazi kwa wachina kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa.Na kwa sasa maboss zangu wamerudi china.Natafuta kazi ya udereva wa nyumbani,taasisi au dereva wa kukodisha vyovyote
lisence yangu ni class D na B,naendesha gari zote automatic na manual pia sichagui kazi yoyote itakayo kuja mbele yangu niko tayari.

Kwa information zaid na mawasiliano yangu ni haya +255694934864

Location:flexible

Natanguliza shukrani zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom