Nafasi ya kazi Dereva - Mdada

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
7,150
26,725
Wakuu poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale.

Familia yangu inatafuta dereva mwenye leseni class D na kuendelea (E, C...) kwa ajili ya gari ndogo ya nyumbani ikijumuisha kupeleka watoto shuleni na kazi zingine zihusuzo kuendesha gari kwa mchana tu. Kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa familia inapendelea dereva mwanamke anayejiamini, anaejua kazi yake na mwenye weledi barabarani.

Kama wewe ni mmoja wapo au unamfahamu mdada mwenye sifa hizo karibu sana pm kwa maelekezo mengine au tupia namba yako hapa nikutwangie

Shukrani za kipekee kwenu wote
 
Unalipa shingapi mshahara
Mshahara jambo la kwanza ni siri ya mlengwa mkuu lakini pia unategemea na uzoefu, elimu na mambo mengine kwa hiyo kusema kweli hakuna mshahara fixed niliona nao kichwani ila inategemea tutaelewana vipi. Ninajua hatuwezi kushindwana
 
Du hii ndiyo tz haya fursa kwa wadada ila tunaomba mrejesho
 
Wakuu poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale.

Familia yangu inatafuta dereva mwenye leseni class D na kuendelea (E, C...) kwa ajili ya gari ndogo ya nyumbani ikijumuisha kupeleka watoto shuleni na kazi zingine zihusuzo kuendesha gari kwa mchana tu. Kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa familia inapendelea dereva mwanamke anayejiamini, anaejua kazi yake na mwenye weledi barabarani.

Kama wewe ni mmoja wapo au unamfahamu mdada mwenye sifa hizo karibu sana pm kwa maelekezo mengine au tupia namba yako hapa nikutwangie

Shukrani za kipekee kwenu wote
Mm nina vigezo vyote mkuu na nnakaa kata ya Kawe zone ya Africana Mbez beach
Ila tuu nina jinsia ya kiume
Kama hautojali nicheki tufanye kaz najua hatutoshindwana

Nitwangie 0784852609
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom