Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Hahahaàaaaaaaaa.

Au umesahau leo ni siku gani.
Nikukumbushe
Ni siku yakukumbatiana.

Nashangaa we uko bize na cm tu utaachwa shauriyo.

mkuu usiharibu post za watu... watu wanatafuta kazi hapa huo u ****** wako peleka facebook
kwaheri
 
sh.it!!!!!!!!!

huu uchafu kwa mara ya mwisho niliuona wakati nikiwa three years before kindergarten.

if you cant write in a matured way... go to kids way!

this isnt your way brat!

Thank u sir do u hear a babies voice.
 
Nikikosa kazi mwaka huu nakuwa mganga wa jadi.Nimeteseka sana nimedharirika sana nimetukanwa sana.

Hodi humu ndani.
 
Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza
nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye
vyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji.
A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 70
1. SIFAZINAZOHITAJIKA
Awe na shahada ya kwanza au Stashahada ya juu
kutooka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali
katika fani zifuatazo; Sheria, Uchumi, Biashara,
Utawala, Uandishi wa habari, Ualimu, Usafirishaji,
Rasilimali watu, Sayansi ya kompyuta, Teknolojia ya
mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi majengo na
Uhandisi Mitambo.
Awe na umri usiozidi miaka 35
2. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kusimamia doria sehemu za mipakani, Bandarini,
Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye vipenyo vya
kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.
(ii) Kusimamia shughuli za upelelezi, kuandaa hati ya
mashitaka na kuendesha mashitaka.
(iii) Kutoa na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya
hati za uhamiaji
(iv) kufanya ukaguzi wa mwanzo wa maombi
mbalimbali
(v) kupokea na kukagua hati za safari, fomu ya kuingia
na kutoka nchini.
(vi) kuidhinisha malipo mbalimbali ya huduma za
uhamiaji kwa wanaostahili
(vii) kuagiza ufunguaji wa majalada ya watumiaji
(viii) kutunza kumbukumbu za ruhusa kwa wanaongia
na kutoka nchini
(ix) kukusanya, kusimamia na kutunza takwimu za
uhamiaji na uraia
(x) Kuandaa majibu ya maombi yote ya huduma za
uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa
B. KOPLO WA UHAMIAJI (NAFASI 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA
(i) Awe amehitimu Kidato cha Sita na kufaulu
(ii) Awe na umri usiozidi miaka 30
C. KONSTEBO WA UHAMIAJI (NAFASI 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA
(i) Awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu
(ii) Awe na umri usiozidi miaka 25
D. SIFA ZA ZIADA: KOPLO/KONSTEBO WA UHAMIAJI
(i) Cheti cha ufundi stadi (Full Technical Certificate)
kwenye fani ya umeme na mitambo.
(iii) Cheti au Stashahada ya Uhazili (Certificate or
Diploma in Secretarial Studies)
katika chuo kinachotambulika na Serikalì.
(iv) Cheti au Stashahada ya Takwimu (Certificate or
Diploma in Statistics) kutoka chuo kinachotambuliwa
na Serikali.
(v) Cheti au Stashahadayavyombo vya Majini
(Certificate or Diploma in Marine Transportation
and Operation) kutoka katika Chuo kinachotambulika
na Serikali.
(vi) Cheti au Stashada katika fani ya uchapaji (Printing)
(vii) Ujuzi na elimu ya kompyuta na uandishi mzuri
utazingatiwa.
E. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kufungua, kupanga na kutunza majalada yenye
orodha ya majina ya watumiaji wa huduma
za Uhamiaji.
(ii) Kuandika Hati mbalímbaLi za Ubamiaji
(iii) Kufanya Doria schcme za Mipakani, Bandarini,
Vituo vya Mabasi, treni na sehemu zenye
vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwcmo vya
majini.
(iv) Kusindikiza watuhumiwa wa kesi za Uhamiaji
Mahakamani pamoja na wageni
wanaofukuzwa nchini (Deporters).
Kufanya ukaguzi kwcnye mahoteli, nyumba za kulaLa
wageni na sehemu za biashara.
(vi) Kuchapa au kuandika kwa kompyuta barua au
nyaraka mbalimbali zinazohusu kazi za kila
siku za Uhamiaji.
(vii)Kufanya matengenezo/ukarabati wa mitambo na
vitendea kazi vya Uhamiaji.
F: MAOMBI YOTE YAWE NA VIAMBATANISHO
VIFUATAVYO.
(i) Vivuli vya vyeti vya kumalizia masonia kwa mujibu
wa sifa zilizotajwa.
(ii) Nakala ya Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi
(iii) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
(iv) Picha mbili (passport size)
(v) Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa
Serikali za Mtaa.
G: UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yapite posta na barua za maombi
ziandikwe kwa mkono.
(i) Maombi ya nafasi ya mkaguzi msaidizi wa uhamiaji
yatumwe kwa;
KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
S.L.P 9223,
DAR ES SALAAM
(ii) Maombi ya nafasi ya Koplo wa uhamiaji na
konstebo wa uhamiaji yatumwe kwa;
KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI,
S.L.P 512,
DAR ES SALAAM
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 27/02/2014
kwa nafasi zote.

samahanini jamani...haya maombi ya hizi kaz yanatumwa kwa lugha gan?kiswahl au kiingereza?
 
Asante kiongozi
 
Pole mkuu nia ni kupambana sana hakuna jinsi tusimsahau Mungu pia katika mambo yetu haya
 
kama sio koplo au konstebo hola au?tujuzane wadau au kama sijaelewa vile au hivyo vyeo vyakijeshi utavipata hukohuko kazini nini?
 
kama sio koplo au konstebo hola au?tujuzane wadau au kama sijaelewa vile au hivyo vyeo vyakijeshi utavipata hukohuko kazini nini?
kma umepata nafas utaenda depo,baada ya hapo ndyo unapewa hvyo vyeo
 
Vyeti vya darasa la saba vipo,vinapatikana shuleni ulipomaliza,nenda na passport size mbili,utapewa cheti chako,mbna mi nimekipata mwaka huu,niliamalza shule ya msing mwaka 2003
 
Naomba kuuliza, nilisikia kuomba kazi uhamiaji lazma uwe umepitia jets hi ni kweli?
 
Back
Top Bottom