Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

hahaaa!! nilimuona bana! si yule anaeanza na EV? nilikuambia uoe! kumbe nae anakufukuzia!!!

hahaaa!!

Ni mimi ndo mnaniita mdudu eeeh?
bahati yenu jukwaa la kazi nami nipo kikazi
kwaheri
 
Naomba kuuliza, nilisikia kuomba kazi uhamiaji lazma uwe umepitia jets hi ni kweli?

Hapana Evelyn Salt, waliopitia jeshi hawatakiwi uhamiaji maana baada ya interview na vipimo vyote kupita wale watakaochaguliwa watapelekwda chuo cha jeshi la polisi Moshi ( CCP) kwa muda wa miezi 9 then wanapangiwa vituo vya kazi. We kaombe tu sweetheart.
 
Natumahi application zitazidi zile za pccb 2times...
 
Hapana Evelyn Salt, waliopitia jeshi hawatakiwi uhamiaji maana baada ya interview na vipimo vyote kupita wale watakaochaguliwa watapelekwda chuo cha jeshi la polisi Moshi ( CCP) kwa muda wa miezi 9 then wanapangiwa vituo vya kazi. We kaombe tu sweetheart.

Teh sijui niapply ikitiki niache uticha
kumbe kuna kupitia ccp tena, mi nilivo nyoronyoro nahisi siwezi jeshi
 
mikazó;8701979 said:
Vyeti vya darasa la saba vipo,vinapatikana shuleni ulipomaliza,nenda na passport size mbili,utapewa cheti chako,mbna mi nimekipata mwaka huu,niliamalza shule ya msing mwaka 2003

dah mim nimemalza mwaka huo lakin nilikwenda nikaambiwa vyeti vya mwaka huo havikufika shuleni.. Je kuna sehemu nyngine vinaweza kupatikana zaid ya shuleni maana nshachoka kuenguliwa hata kabla ya application
 
Naombeni msaada jamani! hizi ajira ni za kudum (serikali) au ni za muda tu?
 
jamani barua inaandikwa kwa lugha gani kiswahili au kingereza?
 
dah mim nimemalza mwaka huo lakin nilikwenda nikaambiwa vyeti vya mwaka huo havikufika shuleni.. Je kuna sehemu nyngine vinaweza kupatikana zaid ya shuleni maana nshachoka kuenguliwa hata kabla ya application
hapana vyeti vipo ndgu,labda ungemuuliza huyo mwalimu mkuu,akupe utaratibu kwamba vinapatikana wapi?kma hapo shuleni havikufika
 
Jamani naomba kuuliza:
Je kuna mtu yeyote aliitwa ile interview ya PCCB bila ya kuambatanisha cheti cha kumaliza darasa la saba?
Msaada wenu plz!
 
Ndiyo ni lazima.

mkuu nina mdogo wangu kahitimu pale Bandari College kozi ya Shipping and Port Operations, kuna sehemu yoyote atafit kwenye hizo nafasi zilizotoka? kama ipo, naomba mnielezee ni nini kitafanyika kabla na baada kuajiriwa maana nimeona mnaongelea maswala ya depo. Na ni kazi ipi hasa atakayoifanya pindi akiajiriwa?
 
dah mim nimemalza mwaka huo lakin nilikwenda nikaambiwa vyeti vya mwaka huo havikufika shuleni.. Je kuna sehemu nyngine vinaweza kupatikana zaid ya shuleni maana nshachoka kuenguliwa hata kabla ya application

Hatari sana!
Wengine wanavyo wengine hatuna japo ni kwa mwaka mmoja tulimaliza la saba.
 
Amemaliza kozi ya muda gani, maana pale kuna kozi za wiki kadhaa, miezi sita hadi mwaka

Back
Top Bottom