Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Mkuu tupo pamoja na mie waccha nitume maombi Mungu atasaidia aisee,
kitoke wapi?

nina form 4 form 6 na chuo tu!

ila kuapply ni lazima! hii fursa ikinipita ntajuta!
 
mhh mwenye mali?

umenikimbia kule akaja yule mdudu mchafu kuchafua hewa

hahaaa!! nilimuona bana! si yule anaeanza na EV? nilikuambia uoe! kumbe nae anakufukuzia!!!

hahaaa!!
 
hahaaa!! nilimuona bana! si yule anaeanza na EV? nilikuambia uoe! kumbe nae anakufukuzia!!!

hahaaa!!

weeeeh lile gari siliwezi mie

kisa cha kuambiwa nna dushe ya utambi cha nini mie?

kunguru asofugika teh teh teh
 
kitoke wapi?

nina form 4 form 6 na chuo tu!

ila kuapply ni lazima! hii fursa ikinipita ntajuta!

wameweka katika viambatanisho mkuu mimi mwenyewe nazitaman hzo post lakini duh nilishindwa kutuma pccb kwa sababu ya chet cha std 7
 
habari mkuu. samahani kama utakuwa umekwazika.

hii ni sehemu tu ya kubadilishana mawazo mkuu.

karibu sana.

Kubadilishana mawazo sina tatizo nako.

Wanaume kuwa haweshi kuwataja wanaume wenzao bila msingi kila mara (Valentine day nzima hii !!) kama vile wanataka kuramba koni sihusudu.

cc Nyani Ngabu
 
Back
Top Bottom