Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Kubadilishana mawazo sina tatizo nako.

Wanaume kuwa haweshi kuwataja wanaume wenzao bila msingi kila mara (Valentine day nzima hii !!) kama vile wanataka kuramba koni sihusudu.

cc Nyani Ngabu

dah.. mkuu mbona matusi tena?

wengine hatuna mawazo kabisa ya valentine as long as, .. ok sijui hata nisemeje
 
Kubadilishana mawazo sina tatizo nako.

Wanaume kuwa haweshi kuwataja wanaume wenzao bila msingi kila mara (Valentine day nzima hii !!) kama vile wanataka kuramba koni sihusudu.

cc Nyani Ngabu

naona una hasira kama mwanamke aliyejeruhika kwenye ndoa...

kutoa wazo kwamba akutafute wewe umsaidie kupata mikaratasi ya huko nae apige box vibaya?

halafu kauli zako zinadhalilisha utu wako naona umemwita mchungu mwenzio wa maisha

uhusudu kulambwa koni na hiyo mijasho ya kupiga box huko uvunguni si itakuwa balaa?

huna jipya
 
pole mkuu

twende kule nakuwekeapo kakitu kakukufariji

hahahaaa!! hauzijui sheria za hiyo kitu eenh?

ngoja nikuitie yule manzi akuzingue!

nilikuona ulivyotoa jasho mbele ya mwanamke!! hehheeee!!
 
Nilikuwa nimesahau leo kuwa ndiyo ile siku ya valentine
Kumbe ukekunywa konyagi ukafhanganya na yellow hahahaha teh.

sh.it!!!!!!!!!

huu uchafu kwa mara ya mwisho niliuona wakati nikiwa three years before kindergarten.

if you cant write in a matured way... go to kids way!

this isnt your way brat!
 
Back
Top Bottom