Nafanyaje hapa?

Nafanyaje hapa?

Tena demu mwenyewe anapiga gambe sii ndio anajiokotea kirahisi kabisa. Alafu uzuri hapo hamna relationship ni kulana tuu
Yaani adai rushwa ya penzi ili asitoe siri
 
Waachie mambo yao, ww kuwa neutral tu. Ila Nina mashaka Kama ndoa itatokea hapa. Mashaka Ni makubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom