Nafanyaje hapa?

Nafanyaje hapa?

Mostly hawanaga faranga
Evelyn Salt Unamwita mtoa mada nyuki wa canteen kwanini? hlfu nyie wadada sijui mkoje tukiwa na nyie kwenye urafiki, tukiwatongoza mnalalamika ooh kwani wanaume hamuwezi kukaa na mdada kwenye urafiki bila kukulana, tusipowatongoza mnatuita nyuki wa canteen

Mm ni fisi, ila kama mdada hunivutii kingono, sikutongozi Abadan, tutaishia kuwa washkaji Mrs Lissu
 
Mwanaume unakuaje na urafiki na Mwanamke? Mnakua mnaongea nini yani?
 
Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.

Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.

Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile(mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.

Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Wewe inakuhusu Nini?
 
Mwache binti afanye maamuzi yake mwenyewe!..Wewe endelea kula bia tu mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom