Nafanyaje hapa?

Nafanyaje hapa?

Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.

Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.

Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile (mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.

Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Ishi nao kama ilivyo likisanuka ww sema nilikuwa sijui lolote...hao wote ni washikaji zako usiwe sehemu au chanzo cha wao kugombana.
 
Tumeumwa tofauti hivi unaanzaje kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja? Inakuwaje mnawadsliana vipi? Afu wote ukute analala nao kha.hii dunia tambala chafu.

Na wewe umejua mko watatu bado uko pale pale? Hamnaga kinyaa bureee kabisa
 
Anaolewa na mume wa mtu ndoa kama ndoa au hii ya kibongobongo???
Acha wivu mwachie jamaa mwenye pesa ajipigie
 
Nipe namba ya huyo mwanamke nimkanye atang'olewa papuchi hao jamaa walikujuana.
 
Tumeumwa tofauti hivi unaanzaje kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja? Inakuwaje mnawadsliana vipi? Afu wote ukute analala nao kha.hii dunia tambala chafu.

Na wewe umejua mko watatu bado uko pale pale? Hamnaga kinyaa bureee kabisa
Aiseee wewe utakuwa wa kipekee sana.
 
mkuu, hao ni watu wazima... wewe sio refa wa mahusiano ya watu!

tulia tuli, likibuma, watajua la kufanya huko mbele ili mradi usikubali na usiruhusu bi dada akulalamikie juu ya yeyote na kukuonyesha hili wala lile kwani likibuma atapata nafasi ya kukuweka katika ya ugomvi huo unaouhofia!

cha msingi mshauri bi dada mapema afanye maamuzi kuhepukana na matatizo... maana mapenzi ya siku hizi watu wengi hawana vifua! Damu nyingi vinamwagika kisa mapenzi!
Shukran kwa ushauri
 
Tumeumwa tofauti hivi unaanzaje kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja? Inakuwaje mnawadsliana vipi? Afu wote ukute analala nao kha.hii dunia tambala chafu.

Na wewe umejua mko watatu bado uko pale pale? Hamnaga kinyaa bureee kabisa
Soma vizuri uelewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom