Nafanyaje hapa?

Nafanyaje hapa?

Wacha wee, yaani kumbe mzeya una jienjoy na tako skonsi
🤠🤠🤠🤠🤠 Sema kuna watu wana mizigo humu, shida visu butu.. Leo acha nikatege morena.. Kuna mtoto mitaa ya kihonda last time alifanya maajabu hadi moyo ukashtuka 😂
 
Na wewe unawekaje urafiki na mtoto wa kike,haya sasa hapo mchane huyo dada awe muwazi kwa huyo mshikaji ambae kaoa ya kuwa anataka kuolewa.

Watoto wa kiume tujiepushe na urafiki wa watoto wa kike unaweza ukapewa majina ambayo si yako.
 
🤠🤠🤠🤠🤠 Sema kuna watu wana mizigo humu, shida visu butu.. Leo acha nikatege morena.. Kuna mtoto mitaa ya kihonda last time alifanya maajabu hadi moyo ukashtuka 😂
Hivi hapo morena kuna pisa hatari eeh? Mida gani utakuwepo hapo nijiunge nawe
 
Hivi hapo morena kuna pisa hatari eeh? Mida gani utakuwepo hapo nijiunge nawe
🙂🙂 Mida yangu mchana mchana nitakuwa nimeisha chukua na machinjio.. Kazi ibaki moyaa kula vitoeo.. Pale mjini ukiset radar yako vizuri unapata zigooo
 
Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.

Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.

Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile(mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.

Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Mmh!!! Aiseee
 
Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.

Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.

Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile (mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.

Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Na wewe mtafune kubalance mizani.
 
Naisi

Hata ukipita mtaani unaiona mbususu ya manzi ileeee Iko kwenye Dela.

Yaan katika ile dhambi kwamba ukimtazama mwanamke Kwa kumtamani umezini nae, sasa wewe bwana umeenda mbali zaidi ukiona Uzi hata wa siasa tayari unahisi humu mbususu haiwezi kukosa

Hii kitu ni hatari Zaid ya nuclear
Kiukweli anachosha sana
 
mkuu, hao ni watu wazima... wewe sio refa wa mahusiano ya watu!

tulia tuli, likibuma, watajua la kufanya huko mbele ili mradi usikubali na usiruhusu bi dada akulalamikie juu ya yeyote na kukuonyesha hili wala lile kwani likibuma atapata nafasi ya kukuweka katika ya ugomvi huo unaouhofia!

cha msingi mshauri bi dada mapema afanye maamuzi kuhepukana na matatizo... maana mapenzi ya siku hizi watu wengi hawana vifua! Damu nyingi vinamwagika kisa mapenzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom