Nafanikishia wengine lakini mimi napoteza kila kitu

Nafanikishia wengine lakini mimi napoteza kila kitu

Wee Kama mm tu Seema tumetofuatiana kidgo

Kila mwanamke nitake tembee nae lzm aolewa na kupata watoto wote niliolala nao sas HV wako makwao na wengine wanna watoto wakt kbla yangu mm wengi walkuwa wamekata tamaa ktk mausiano
Huu mtego Kuna panya watanasa
 
Tangu nikiwa mdogo, kuna mama alikuwa anafanya biashara ya ndizi,
Sasa kabla hajaenda sokoni ilikuwa lazima apitie nyumbani amuombe mama anipe hela nimfungulie biashara ndio aende,
Na huko hatakawia hata kdg biashara inaisha kwa mafanikio.

Nikiingia sehemu ya biashara yyte iwe, hotelini, bus,dukani nk, hata kama hapakuwepo na mteja , yaan ghafla patajaa wateja ntafikir walikuw sehem wakingoja nifike ndio waingie,

hata kamasintaendelea kuwemo humo au sintanunua basi ndio ntawaacha humo wakiendelea lkn mara nyingi huwa wananunua.

Lingine kubwa kuliko ni hili, mwanamke ntakayetoka Naye lazima mambo yake yanyoke,
Biashara yake yyte lazima apige hela.

Kwa mara kwanz kugundua hili, Kuna jimama moja niliparamia huw linauza nafaka sokoni.

Baada ya kutoka Naye, kesho yake aliingia sokoni,
Ilipita muda kama miez miwili kuja kukutan Naye tena ndio akanisimulia namna alivyofanya mauzo ile siku ambavyo hajaw kufany tang azaliwe,
Yaan alimaliza mzigo harak na kwa faida kubw sana.

Nna mke yeye ni mtumishi, yaan mambo yake kazini yanamuendea vzr sana, anapendwa na kukubalika san, michongo anapata sana, kapandishwa cheo, mpak sasa wakubwa wanamhimiza asome tu ili wampandishe vyeo sema mambo yanakuw mengi.

Kwa upande wa wanawake niliokutana nao mafanikio ni meng sana kwa kila wanachokifanya, yaan hata kama anajiuza lazima apige hela, wapo wengi wameolewa na wenye nazo.

Yaan kifupi sijakutana na hata mmoja anayetaabika,
Ni kama nimewapa kisimati.

Sasa changamoto inakuja kwangu,
Mimi ni mtumishi yaan mambo yangu ni magumu sn hayaend hata kdg,

Mikosi ni mingi mno, mahusiano ni mabovu mno,
Huwa naparamia biashara, yaan inakuw kama nimeenda kutupa hela na kurudi nyumbani kukaa,

Huw najiona npo tofauti na binadam wengine,
Pesa haikai kbs mpaka hata hela za wife naishia kuzipoteza kwny biashara za hasara siku zote,

Nilijikut naingia kweny Ulevi baad ya mambo kuwa magumu na hayaend, nimepoteza saaana hela na kufedheheka.(kwa siku napoteza hata laki na themanini kwenye pombe, huruma!!)

Ilifika sehemu nikaenda kwa wataalam khs biashara lkn huko nimeishia kupoteza zaid pesa,

Hakuna kilichobadika hata kdg.
Isipokuw kdg nilipata uahueni kwenye mwili kwan nahic nilikuw na vifungo vizito vya muda mrefu.

Khs biashara kiukweli nimenyoosha mikono,
Haijanilipa hata senti moja, na imenirudisha sana nyuma, yaan ningestuka kitambo mikopo niliyokuw nachukua, nikaweka kwenye nyumba na aseti zingine , ningekuw mbali sana,

ingawa kuna watu wanapotosh sana watumish kwamba usikope kwa ajili ya kujenga nyumba au kununua gari!

Hiyo kauli imepoteza watumishi wengi.

Mambo ni mengi sana, pia mm sio msimuliaji mzuri,

Wajuvi wa mambo Naomben ushauri wenu,
Je hiyo hali ni ya kawaida ama, Je nini kifanyike.

Khs kufunga na kusali nimejitahid sana ila sijaona.
Dadili zote za kifungo cha kichawi zipo na inaonekana kuwa ni roho ya chumaulete inakusumbua. Itakupasa upate msaada kwa Watumishi wa Mungu. Jitahidi mapema.
 
Dadili zote za kifungo cha kichawi zipo na inaonekana kuwa ni roho ya chumaulete inakusumbua. Itakupasa upate msaada kwa Watumishi wa Mungu. Jitahidi mapema.
Ngoja nifanyie kazi mkuu.
Asante
 
One lady asked Mr. Thomas Edson

"Mr. Edson, what is Electricity?"

Mr. Edson replied "Electricity is. Use it"

You can use electricity to kill someone or to light the house.

You was born with only two fears

#1. Fear of Falling
#2. Fear of Noise

Apart from that don't fear anything

I'll be back in a moment

Ubemuoje was here again
 
One lady asked Mr. Thomas Edson

"Mr. Edson, what is Electricity?"

Mr. Edson replied "Electricity is. Use it"

You can use electricity to kill someone or to light the house.

You was born with only two fears

#1. Fear of Falling
#2. Fear of Noise

Apart from that don't fear anything

I'll be back in a moment

Ubemuoje was here again
Ok
 
Kuna jamaa hapa mtaani aki na dada single wamepanga appointment ya kukutana naye. Yaani akigonga kimoja tu dada hakai mwezi anapata mchumba na harusi juu. Yawezekana ni imani au amerithi mikoba.
 
Baraka zinatoka kwa mtu mwenye nuksi?,au mimi peke yangu ndio sijaelewa?
 
Mimi Kuna mama alikua akiniuzia chakula Kama mteja wa kwanza lazima hiyo siku amalize mapema.
 
Key point


Lingine kubwa kuliko ni hili, mwanamke ntakayetoka Naye lazima mambo yake yanyoke,
Biashara yake yyte lazima apige hela.

Lipia Tangazo
 
Back
Top Bottom