Nafanikishia wengine lakini mimi napoteza kila kitu

Wee Kama mm tu Seema tumetofuatiana kidgo

Kila mwanamke nitake tembee nae lzm aolewa na kupata watoto wote niliolala nao sas HV wako makwao na wengine wanna watoto wakt kbla yangu mm wengi walkuwa wamekata tamaa ktk mausiano
 
Ok
 
Wewe ME?
 
Tangu nikiwa mdogo, kuna mama alikuwa anafanya biashara ya ndizi,
Sasa kabla hajaenda sokoni ilikuwa lazima apitie nyumbani amuombe mama anipe hela nimfungulie biashara ndio aende,
Na huko hatakawia hata kdg biashara inaisha kwa mafanikio.

Nikiingia sehemu ya biashara yyte iwe, hotelini, bus,dukani nk, hata kama hapakuwepo na mteja , yaan ghafla patajaa wateja ntafikir walikuw sehem wakingoja nifike ndio waingie,

hata kamasintaendelea kuwemo humo au sintanunua basi ndio ntawaacha humo wakiendelea lkn mara nyingi huwa wananunua.

Lingine kubwa kuliko ni hili, mwanamke ntakayetoka Naye lazima mambo yake yanyoke,
Biashara yake yyte lazima apige hela.

Kwa mara kwanz kugundua hili, Kuna jimama moja niliparamia huw linauza nafaka sokoni.

Baada ya kutoka Naye, kesho yake aliingia sokoni,
Ilipita muda kama miez miwili kuja kukutan Naye tena ndio akanisimulia namna alivyofanya mauzo ile siku ambavyo hajaw kufany tang azaliwe,
Yaan alimaliza mzigo harak na kwa faida kubw sana.

Nna mke yeye ni mtumishi, yaan mambo yake kazini yanamuendea vzr sana, anapendwa na kukubalika san, michongo anapata sana, kapandishwa cheo, mpak sasa wakubwa wanamhimiza asome tu ili wampandishe vyeo sema mambo yanakuw mengi.

Kwa upande wa wanawake niliokutana nao mafanikio ni meng sana kwa kila wanachokifanya, yaan hata kama anajiuza lazima apige hela, wapo wengi wameolewa na wenye nazo.

Yaan kifupi sijakutana na hata mmoja anayetaabika,
Ni kama nimewapa kisimati.

Sasa changamoto inakuja kwangu,
Mimi ni mtumishi yaan mambo yangu ni magumu sn hayaend hata kdg,

Mikosi ni mingi mno, mahusiano ni mabovu mno,
Huwa naparamia biashara, yaan inakuw kama nimeenda kutupa hela na kurudi nyumbani kukaa,

Huw najiona npo tofauti na binadam wengine,
Pesa haikai kbs mpaka hata hela za wife naishia kuzipoteza kwny biashara za hasara siku zote,

Nilijikut naingia kweny Ulevi baad ya mambo kuwa magumu na hayaend, nimepoteza saaana hela na kufedheheka.(kwa siku napoteza hata laki na themanini kwenye pombe, huruma!!)

Ilifika sehemu nikaenda kwa wataalam khs biashara lkn huko nimeishia kupoteza zaid pesa,

Hakuna kilichobadika hata kdg.
Isipokuw kdg nilipata uahueni kwenye mwili kwan nahic nilikuw na vifungo vizito vya muda mrefu.

Khs biashara kiukweli nimenyoosha mikono,
Haijanilipa hata senti moja, na imenirudisha sana nyuma, yaan ningestuka kitambo mikopo niliyokuw nachukua, nikaweka kwenye nyumba na aseti zingine , ningekuw mbali sana,

ingawa kuna watu wanapotosh sana watumish kwamba usikope kwa ajili ya kujenga nyumba au kununua gari!

Hiyo kauli imepoteza watumishi wengi.

Mambo ni mengi sana, pia mm sio msimuliaji mzuri,

Wajuvi wa mambo Naomben ushauri wenu,
Je hiyo hali ni ya kawaida ama, Je nini kifanyike.

Khs kufunga na kusali nimejitahid sana ila sijaona.
Hapo mambo ni wazi kabisaa wewe ndio unagundu sema ulikuwa unakutana na watu wenye vismati vyao.
 
Unakosea sana. Wewe hutakiwa kufanya biashara au kazi yoyote. Unakiwa upewe tena ya kutembelea sehemu mbali mbali kila siku asubuhi uwe unalipwa. Sehemu kama kumi unalipwa siku inaisha.
 
Unauliza hufanikiwi kwa nini wakati umeshamuuzia shetani ulichonacho?
#HOSEA 4:6
#2 SAMWELI 12:15-18
Swala la mahusiano ya kimapenzi si jambo la kucheza nalo hata kidogo ndiyo maana Mungu amelisemea sana kwenye neno lake. Daudi alifanya makosa hayo mara kadhaa na kilichomkuta ni kuharibu maisha yake.
Mungu ametupa neno lake liwe ni maelekezo ya matumizi yetu sisi kwa usahihi ili tuishi kwa kufanikiwa katika yote kadiri ya vile alivyokusudia alivyokuwa anatuumba.
Tunaponunua vifaa mbalimbali huwa tunapewa na kitabu cha maelekezo ya namna ya kutumia kifaa hicho. Ikitokea ukaacha kufuata maelekezo ya muundaji wa chombo lazima chombo kitapata madhara au kikafa kabisa na hivyo ndivyo ilivyo kwetu wanadamu.

Dawa ni kutubu na kuomba Mungu akurudishie kile ulichokiuza kwa kukulipia deni. (Kukikomboa) mikononi mwa ufalme wa giza unaomiliki kwa sasa.
 
Duh!
 
Shida ya watumishi tunadhani kuweza shule tunaweza maisha ya kitaa la hasha,wenye hiyo field waachwe wapambane sisi hiyo tuongeze elumi tuu,don't say it wasnt
 
Sawa Mkuu,
Ngoja niendelee kuboresha mahusiano yangu na Mungu,...
 
Wee Kama mm tu Seema tumetofuatiana kidgo

Kila mwanamke nitake tembee nae lzm aolewa na kupata watoto wote niliolala nao sas HV wako makwao na wengine wanna watoto wakt kbla yangu mm wengi walkuwa wamekata tamaa ktk mausiano
Lipia tangazo
 
Shida ya watumishi tunadhani kuweza shule tunaweza maisha ya kitaa la hasha,wenye hiyo field waachwe wapambane sisi hiyo tuongeze elumi tuu,don't say it wasnt
Ni kweli kbs Mkuu,
Yaan biashara imenirudish nyuma sn,
Nashukuru mambo hayo yamenikuta mapema na nimejifunza , kuliko unastaafu ndio unaingia kweny biashara.
Htr sn
 
Wee Kama mm tu Seema tumetofuatiana kidgo

Kila mwanamke nitake tembee nae lzm aolewa na kupata watoto wote niliolala nao sas HV wako makwao na wengine wanna watoto wakt kbla yangu mm wengi walkuwa wamekata tamaa ktk mausiano
Hapa naona unanisema,kiuhalisia Mimi napitia mengi ikiwemo hayo ya mtoa mada.lakini namna ya kujikwamua inakua changamoto
 
Back
Top Bottom