Hapana mkuu ni kueleweshana tuUmehamisha magoli ili ushinde
Aaaah aaah, Mimi siwezi kuelewa kwa ujanjaujanja hivyoHapana mkuu ni kueleweshana tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuu mawazo yako ni sawa pia.Aaaah aaah, Mimi siwezi kuelewa kwa ujanjaujanja hivyo
Hahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuu mawazo yako ni sawa pia.
we jamaa upo!?.. Long time no see! [emoji1][emoji2]interejensi??????????
what the fu.ck is this garbage?
Im black behind is still around ma' nyuiigah!we jamaa upo!?.. Long time no see! [emoji1][emoji2]
Kwema Mkuu,Mkuu mi nakufananishaga na Professor flani hivi Ambae ana akili sanaaa,watu wafanyaje wawe kama wewe?Wakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.