Nafananishwa na Albert Einstein wa Ujerumani

Nafananishwa na Albert Einstein wa Ujerumani

Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k


Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Mkuu kweli una intereREjensi ya Einstein
 
Wakuu kwema? Poleni na

majukumu,





Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k


Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Omura ono!!! 😂😂😂😂😂
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k


Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
hahhah umejuaje kama jamaa anatokea ujerumani ???????????? unafrahisha saaanaa mkuu
 
Ujinga mwengine ha ilikuaje mpaka ukawaza hivyo, nenda google kamsome halafu ndio ujiangalie kama unaweza hata kukubali kufananishwa nae
 
Wamegundua wewe ni muovu sana maana Albert Einstein aligundua nukes ambazo zikitumika kwenye vita zitaangamiza dunia
Einstein hakugundua nukes mkuu yeye aliformulate energy speed relation ya matter (E=MC^2) ila akaiuza hii formulara kwa wamarekani kipindi cha vita ya pili ya dunia (hakuwa na nia mbaya na hakuwahi kufikiria ingetengeneza nukes ) na kati ya hao wana science walionunua hiyo formular alikuwepo kijana mmoja smart sana anaiyeitwa (J.ROBERT OPPENHEIMER) huyu jamaa alikuwa ni theoretical scientist na ndiye aliyegundua nuclear bomb la kwanza kupitia hiyo formular ya einstein (relativity formular) na baada ya bomu hilo kutupwa japan jamaa alipaniki na kuanza jutia maamuzi yake hayo hadi aka quote mstari mmoja wa (BHAGAVAD GITA) na kusema.....
"Now I am become death, the destroyer of worlds"

Jinsi gani alijutia ugunduzi wake.
 
Vitu unavyovijua wewe usivilete humu utaishia kugombana na watu...

Einstain unaesemea wewe ni wa huko Mugumu kwenu kwa walima viazi?Why you people bring that rubbish kwenye multi functional platform like this kama sio unywa gongo wenu?

Renowned relativity scientist ever on earth ndio tunamjua sisi,sasa huyo wenu wa chooni mnaomjua ninyi ni vyema mkaenda muongelea chooni kwenu humo humo nyie watu wa chooni!

Na the great Albert Einstain hawezi sema "interejensi" hata siku moja,he more IQ to know that's stupidity.

Well,it is good that,you are well,Wakurya ndio wanasema "interejensi",see the lingo?

You are such a degenerate!You are wasting space!
Wewe kenge na kingereza chako cha chooni
 
Wewe kenge hiyo interigense uliyoandika dah


Hii inaonesha jinsi gani unavyokurupukia mambo bila kutafakari,


Pumbavu siku nyingine usiwe unafuata mkumbo.
Ndo Albert huyu kalumekenge we hata argument yako inaonesha ulivyo mpumbavu wa SGR unaweza kuta ni sho.a
 
“Two things are infinite: the universe and
human stupidity; and I'm not sure about
the universe.” Albert sheeda!
 
Back
Top Bottom