IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,678
Itakuwa una sharubu na minywele kama ya Einstein. [emoji2][emoji2]Wakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.