Nafananishwa na Albert Einstein wa Ujerumani

Nimepitia comments zenu zote mlizozitoa kwenye uzi .

Nilichogundua ni kwamba asilimia kubwa (majority) wamekurupuka sana kutoa comment.

Wengine nimeona wameishia kukashifu na kukosoa neno interegensi huku wakiendelea kuandika tofauti na nilivyoandika.

Hii inaonesha kwamba hatuko makini kwa kinachotutoka ubongoni na tunaandika kihisia zaidi ili mradi uonekane na wewe ni member wa jf.

Nawapongeza wale waliojiuliza maswali kwanza kwa kutaka kujua je huyu Einstein aliyezungumziwa ni yupi?.

Wenye IQ kubwa tunatumia 5W- Prinsipo kwenye kufanya reasoning hatimaye kutoa hitimisho la unachokitafuta .

Ndio maana nasema majority mmekurupuka sana ku comment.

Siku nyingine mtu akitoa uzi msiwe mna comment kwa hisia kali.

Tuliza ubongo, tumia 5W -Prinsipo kisha comment.

Asanteni wadau wa jf.
 
Einstein hakugundua nukes mkuu yeye aliformulate energy speed relation ya matter (E=MC^2) ila akaiuza hii formulara kwa wamarekani kipindi cha vita ya pili ya dunia (hakuwa na nia mbaya na hakuwahi kufikiria ingetengeneza nukes ) na kati ya hao wana science walionunua hiyo formular alikuwepo kijana mmoja smart sana anaiyeitwa (J.ROBERT OPPENHEIMER) huyu jamaa alikuwa ni theoretical scientist na ndiye aliyegundua nuclear bomb la kwanza kupitia hiyo formular ya einstein (relativity formular) na baada ya bomu hilo kutupwa japan jamaa alipaniki na kuanza jutia maamuzi yake hayo hadi aka quote mstari mmoja wa (BHAGAVAD GITA) na kusema.....
"Now I am become death, the destroyer of worlds"

Jinsi gani alijutia ugunduzi wake.
Alikuwa kichwa sana huyo mtalaam, hivi hapa bongo tunaweza kuwa na watu kama hao kweli???
 
I learnt too late ignorance siyo absolute, ignorance is relative. Special theory of relativity.
 
Jina tu hulijui hah jamaani.

Labda wa maboksi!
 
Watakuwa wame wrong number. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Einstein hakugundua nukes mkuu yeye aliformulate energy speed relation ya matter (E=MC^2) ila akaiuza hii formulara kwa wamarekani kipindi cha vita ya pili ya dunia (hakuwa na nia mbaya na hakuwahi kufikiria ingetengeneza nukes ) na kati ya hao wana science walionunua hiyo formular alikuwepo kijana mmoja smart sana anaiyeitwa (J.ROBERT OPPENHEIMER) huyu jamaa alikuwa ni theoretical scientist na ndiye aliyegundua nuclear bomb la kwanza kupitia hiyo formular ya einstein (relativity formular) na baada ya bomu hilo kutupwa japan jamaa alipaniki na kuanza jutia maamuzi yake hayo hadi aka quote mstari mmoja wa (BHAGAVAD GITA) na kusema.....
"Now I am become death, the destroyer of worlds"

Jinsi gani alijutia ugunduzi wake.
Bado unaunga mkono nilichokisema kuwa ugunduzi wake wa relativity theory ndiyo chanzo
 
Wewe ndiyo huelewi
Unajua kitu chochote kinachukuliwa kama positive au negative kutokana na unavyokitumia mfano bunduki ikitumiwa na majambazi na pia na maaskari /wanajeshi lakini haimaanishi kuwa jema na ovu linalotokana na hiyo bunduki litaenda kwa mvumbuzi wa hiyo bunduki unakosea mkuu.
 
Alikuwa kichwa sana huyo mtalaam, hivi hapa bongo tunaweza kuwa na watu kama hao kweli???
Wapo mkuu ila kwa ninavyoona ni kuwa kuanzia tunakua huwa tunatengenezewa mawazo ambayo ni common katika jamii yetu mfano kusoma na kuja kuwa mtu fulani hii huwa inawanyima watoto wengi uhuru wa kuonyesha vipaji vyao na pia support huwa wanakosa kutoka kwa wazazi wao kitu ambacho kinafanya vipaji vingi vibaki kuwa dormant .ila nina imani wapo wengi tu
 
Unajua kitu chochote kinachukuliwa kama positive au negative kutokana na unavyokitumia mfano bunduki ikitumiwa na majambazi na pia na maaskari /wanajeshi lakini haimaanishi kuwa jema na ovu linalotokana na hiyo bunduki litaenda kwa mvumbuzi wa hiyo bunduki unakosea mkuu.
Aliyegundua silaha yenye maovu makubwa ya kuangamiza dunia pia alishiriki kwenye utengenezaji na majaribio yake
 
Hivi kumbe ukishiriki utengenezaji na pia kufanya majaribio ya ndege ya abiria halafu hiyo ndege ikapakiza abiria kuwasafirisha kutokea tanzania kwenda south africa kisha ikatekwa njiani na magaidi halafu ikatumika kuuwa mamilioni na wewe uliyeitengeneza una dhambi pia?
 
Umehamisha magoli ili ushinde
 
Back
Top Bottom