Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru Mungu kuwa amejitahidi. .................... Najua kinondoni ndo kuna viwalo so nimeamua nimpeleke akachague vitu 2 tu atakavyovipenda siyo gari lakini.
@Ntonye sichagui mimi ni offer kama wewe ulivyotoa mwaliko wa holday inn that time.
Kweli @Ntonye hafai. She is grown up sasa. Yuko form six.
Kweli @Ntonye hafai. She is grown up sasa. Yuko form six.
Hongera ana umri gani..weka mbali.na mzee wa Akudo
...Weka Lulu karibu na Papaa Mopao Arushaone!!
Mamndenyi hongera kwa kukuza! Mwambie Lulu awe mwangalifu na elimu haina mwisho.
COPY: Nicas Mtei.
niko manyanya hapa nipitie nikusaidie kuchagua
Nimekuona umevaa brauzi nyeupe na viatu vya njano na sketi ya blue
Hee !
Sasa hii ajizi ya kudelaydelay kufungua mabandiko mwisho wangu leo.
Hili bandiko tangu jana naliona , nikawa naliruka kulifungua .
Kumbe naruka mafaida ambayo huenda Kijana wangu atayapata.
Shortly Mamndenyi sioni sababu mie na wewe on the days comin tusiwe wakwewenza .
Kijana wangu aunganishe clans !
Soon ntakutafuta due further programs .