Naelekea India nitawajuza hali ya Mwakyembe bila unafiki!

Status
Not open for further replies.
Nafikiri unapenda uendelee kuwa msiri/ usijulikane utambulisho(identity) wako, kutokana na mambo ambayo unaandika ama kutupasha. Kama kuna watu ambao wamepewa kazi ya kutafuta utambulisho wako, mbona umewarahisishia kazi, maana watakuwa wamepunguza sample na kubakiza wale tu walioko kwenye msafara wa Zitto, then wataendelea na upembuzi mwingine wa kina na hatimaye itakuwa rahisi kukudaka.

Kama wewe ni mwanausalama, sikutegemea useme wazi kuwa upo kwenye msafara wa Zitto, vinginevyo umejisahau, au si mwanausalama, ama ni makusudi tu.

Anyway, keep us updated.

Thanks....
 
Nakukubari sana kaka ila kwa hali inavyoendelea kuna kila dalili na wewe ukabakizwa india maana post zako mmmmmmh? Watakumwakyembe soon
 
Nafikiri unapenda uendelee kuwa msiri/ usijulikane utambulisho(identity) wako, kutokana na mambo ambayo unaandika ama kutupasha. Kama kuna watu ambao wamepewa kazi ya kutafuta utambulisho wako, mbona umewarahisishia kazi, maana watakuwa wamepunguza sample na kubakiza wale tu walioko kwenye msafara wa Zitto, then wataendelea na upembuzi mwingine wa kina na hatimaye itakuwa rahisi kukudaka.

Kama wewe ni mwanausalama, sikutegemea useme wazi kuwa upo kwenye msafara wa Zitto, vinginevyo umejisahau, au si mwanausalama, ama ni makusudi tu.

Anyway, keep us updated.

Thanks....

Ondoa hofu. Jason Bourne as an experienced agent can not be such a fool. Hata kwenye footbal imo. Mpiga penalti kuangalia au kudash mwili wake kushoto haimaanishi na mpira atapiga upande huo huo. Analotaka ni goli hizo zingine ni mbwembwe tu. Umenipata?
 
Una maana wapo 16?
Umejuaje?
We ni mmoja wao?
Kama we sio mmoja wa hao JB basi utakua mmoja kati ya LTK

Mkuu kuna memba membe mmoja alikuwa anatumia ID ya "wa 16" nae huyu alikuwa analeta taarifa za ki-TISS TISS ila za huyu JB mh!
 
What I know sio mtu mmoja anatumia hi ID Once one akidakwa mchezo kwisha
Nafikiri unapenda uendelee kuwa msiri/ usijulikane utambulisho(identity) wako, kutokana na mambo ambayo unaandika ama kutupasha. Kama kuna watu ambao wamepewa kazi ya kutafuta utambulisho wako, mbona umewarahisishia kazi, maana watakuwa wamepunguza sample na kubakiza wale tu walioko kwenye msafara wa Zitto, then wataendelea na upembuzi mwingine wa kina na hatimaye itakuwa rahisi kukudaka.

Kama wewe ni mwanausalama, sikutegemea useme wazi kuwa upo kwenye msafara wa Zitto, vinginevyo umejisahau, au si mwanausalama, ama ni makusudi tu.

Anyway, keep us updated.

Thanks....
 
Una maana wapo 16?
Umejuaje?
We ni mmoja wao?
Kama we sio mmoja wa hao JB basi utakua mmoja kati ya LTK

mkuu soma post #33, mkuu hata kirefu cha LTK sijui maana yake.
hata hivyo kabla ya JB alikuwepo member 1 anajiita WA 16, alitoa taarifa za kura feki Tunduma, sijui wamemuua?
 
safari njema mkuu,we are waiting 2 hear frm yah dude...ol da best,tek care.dnt listen 2 wat 'majungu guys' wanasema,kama ulitimiza ahadi zako kibao,then leo u must do da same...kip it up man
 
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!

Wewe juzi ulisema upo kwenye msafara wa JK mnakula bata, leo tena upo kwenye msafara wa Zitto tena..

Sisi ni watu wazima JF sio sehemu ya porojo..wewe mzee wa Kamba wewe si ndio ulikuja na thread humu JF mpaka unaapa kuwa Tido Muhando bosi mpya wa El Jazeera..

Endelea kuwandanganya hao hao Magwanda wenzako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom