Naelekea India nitawajuza hali ya Mwakyembe bila unafiki!

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!

HALI YA WAGONJWA DR MWAKYEMBE, MWANDOSYA NA ZITTO -INDIA

JASON BOURNE
TEL:
ID :

Mtanisamehe kwa kuchelewa kuwapa ripoti za wagonjwa wetu waliopo India.
Hii ilitokana na mazingira ya hali ya juu ya usalama iliyowekwe juu ya wagonjwa hawa.
Ikanilazimu mpaka nifike mjini Perth Australia ndipo niwape kile nilicho kiona kwa wagonjwa wetu.

Zitto Kabwe
Hali yake tangu alipofika mpaka jana nilipomwacha ilikuwa ya kuridhisha kwa ujumla labda yatokee mabadiliko yoyote leo hii.

Madai ya kulishwa sumu na TISS:
Kulingana na vyanzo vyangu vya habari, taaluma na kipaji changu cha uchunguzi na uzuiaji wa matukio, ninasema nitakuja kulifanyia kazi nikirudi. Ila madaktari wa wanaweza kuwa na jibu ingawa hamtaelezwa ukweli watanzania wala ndugu wa mgojwa.

Hali ya Mwakyembe
Katika jamii inayoamini maombi kuwa ni sehemu ya uponyaji, basi yatupasa watanzania wenye mapenzi mema na Mh Mwakyembe tufanye hivyo tena haraka sana

Kwa mda wa dk20 nizokaa ndani ya chumba chake maalumu chenye vihami sumu, kwakweli nilitokwa na machozi.

Mh hali yake ni mbaya! Nadhani mtu mzima akisema hali ni maya bila shaka mnatambua.

Hali ya Mwandosya:
Mh Mwandosya sikuweza kumuona live hii ni kutokana na mahali alipolazwa kuwa mbali kidogo na hapo alipo Mwakyembe,
Taarifa nilizo zipatata kutoka kwa Daktari Virmandh Gaemr mmoja wa madaktari wanaomtibu Mwandosya ni kuwa hali yake haina tofauti sana na ya Mwakyembe.



Hayo ndiyo niliyoyaona kwa macho yangu!

Asanteni sana.
 
Jason bourne,

Heri shari kuliko nusu shari! Hiki ni chombo cha umma na kinaendeshwa kwa kodi yangu na yako!
Katikati ya majonzi mazito ya ajali ya meli huko zanzibar watanzania tunategemea cnn kupata habari za ndani ya nchi yetu, huku tbc wakiweka taarabu na picha za kibongo?

Sasa naingia chimbo kuhakikisha navuruga mfumo wao wote wa urushaji matangazo!
Ewe mdao mzalendo na mwenye uchungu na nchi yetu naomba tusaidiane kukiangusha chombo hiki kilichogeuka kuwa kitengo cha propaganda cha ccm!!
I will wonder if public resources will be wasted to identify the hacker while he can easily be trapped from here. Congra for making it as you wished!
https://www.jamiiforums.com/habari-...a-wa-ku-hack-tv-i-want-to-take-down-tbc1.html



Toka umefanikisha hii kazi ya TBC1 sina hofu kabisa na ahadi, utendaji na taarifa zako.
Nasubiri kwa shauku ..... nakutakia pia safarii njema
 
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!

safari njema mkuu
 
lakini tambua kuna ndege za watanzania wengine ambao si wagonjwa wameondoka kutokea Nairobi haijulikani wanaenda India kufanya nini so kama kuna umakini unahitajika kuweni kama hakuna haja endeleeni
 
lakini tambua kuna ndege za watanzania wengine ambao si wagonjwa wameondoka kutokea Nairobi haijulikani wanaenda India kufanya nini so kama kuna umakini unahitajika kuweni kama hakuna haja endeleeni
hawa mni usalama wapo kazini na wapo kikazi zaidi
 
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!

Safiri salama na Mungu awatangulie katika safari yenu ya matibabu. Mpe pole kamanda wetu Zitto.
 
Ni kweli uko safarini,maana jambo hili ni very muhimu na ni sensitive sana,ila kama uko safari moja na kamanda Zitto basi usafiri salama na kila la heri,usichoke kutujuza kila muda maana wengine pressure in panda pressure ina shuka,tunatamani kupata -update kila wakati juu ya mh Zitto.
 
Mbona umeondoka australia ukamwacha mkuu wa kaya, naimani pia kazi inayokupeleka india niyamuhimu sana, nakutakia safiri njema pia kazi njema.
 
safari njema mkuu

Wakuu,hivi ile ripoti ya akina mwakyembe,mwakyusa na wale wengne most wanted ambayo iliwekwa hapa jf na member nitaipataje nahitaji kufanya reference pamoja na haya yanayoendelea kutokea.msaada pls!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom