Nadharia zilizo prove failure!

Nadharia zilizo prove failure!

LOVE IS UNCONDITIONAL. . . . . . . . .hii nayo imefeli vibaya mno, katika malovee kuna conditions hadi terms kabisa. Watu wanaangalia mustakabali wa maisha yao hawana masikhara hata kdogo. . . .kwa mfano una kazi nzuri, una biashara nzuri, unajua kupiga mashine kisawasawa, etc!
 
1. UZURI WA MWANAMKE UPO MACHONI MWA ANAYE MTAZAMA

Huu ni uzushi, sentensi hii mara nyingi huzungumzwa na mwanaume anaye mtongoza mwanamke mwenye sura mbaya pindi mwanamke huyo anapo muuliza " Umenipendea nini? Nina uzuri gani mimi hadi useme unanipenda hivyo ? Mbona wanawake wazuri wapo wengi mno ? etc.

UKWELI NI : Uzuri wa mwanamke is a universal factor, or at least a social factor....

Mdau ongeza nadharia nyingine ambazo unadhani zimeprove failure!
"wanawake wembamba wana mbunye kubwa sana na wanawake wanambunye ndogo interm of depth"
 
1. UZURI WA MWANAMKE UPO MACHONI MWA ANAYE MTAZAMA

Huu ni uzushi, sentensi hii mara nyingi huzungumzwa na mwanaume anaye mtongoza mwanamke mwenye sura mbaya pindi mwanamke huyo anapo muuliza " Umenipendea nini? Nina uzuri gani mimi hadi useme unanipenda hivyo ? Mbona wanawake wazuri wapo wengi mno ? etc.

UKWELI NI : Uzuri wa mwanamke is a universal factor, or at least a social factor....

Mdau ongeza nadharia nyingine ambazo unadhani zimeprove failure!
Mhh.Napita tu hapa.Kila la heri
 
Wanawake wazuri siyo wa kuoa ni wa kuchezewa tu

Nyoooo, siku hizi uzuri una husu, tunaolewa sana tu, mnajidanganya!

We uwe tamaa,hujiheshimu unategesha kwa kila mtu na tabia zingine za ajabu ajabu uone
kama utaolewa na Uzuri wako
 
KUFA NA MAJI NI KUTAKA=hii ni pale Mpemba anapokuwa hana pesa za kwenda kwao kwa kisingizio cha kuyaogopa maji.
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom