LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,939
- 37,823
1. UZURI WA MWANAMKE UPO MACHONI MWA ANAYE MTAZAMA
Huu ni uzushi, sentensi hii mara nyingi huzungumzwa na mwanaume anaye mtongoza mwanamke mwenye sura mbaya pindi mwanamke huyo anapo muuliza " Umenipendea nini? Nina uzuri gani mimi hadi useme unanipenda hivyo ? Mbona wanawake wazuri wapo wengi mno ? etc.
UKWELI NI : Uzuri wa mwanamke is a universal factor, or at least a social factor....
Mdau ongeza nadharia nyingine ambazo unadhani zimeprove failure!