Kudadeki nimekufuma leo!
Mchungaji anataka kula chabo!
Teh teh teh teh!
Utapofuka wewe! Nyie kwanza hamruhusiwe hiyo maneno!
Sasa we ukipatwa na midadi hapo utafanyaje! .
Nyie si mna muiga yesu! Kukaa bila mke!!
Teh teh teh teh!
Mfazaiko utakuua! We vuta changu mmoja utulize roho yako! Usije fanya vitu vya ajabu nyuma ya madhabahu tukakuona kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti!
Ukawa unasomeka hivi;-
MCHUNGWAJI AAMUA KUBAKA BAADA YA KUFADHAIKA NA AVATAR YA MWANA JF""
Teh teh teh teh!!
Kwanza dhambi zako si alishabeba yesu!?
We unaogopa nini sasa!?
Cc
Ritz Tayeb Kikwajuni one Elungata taby