Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

Ukitaka kujua usaniii wa Polisi

Barua ya mwaka Jana 2020

Hata magufuli ajafa maana yake waliiandaa toka mwaka Jana kumtengenezea kesi.

Na wakakosa ushahidi sasa wameona watumie hoja ya katiba kumnyamazisha

Ila sasahivi ndio tunaanza sasa kudai katiba mpya ile rasmi
Inawezekana kwa haya yanayoendekea nchini kwa sasa baada ya makamu wa Magu kuwa rais na kuonyesha ukatili kumzidi basi yaweza kuwa ukatili wa Magu ulikuwa ukiratibiwa na makamu wake.
Mwenye macho haambuwi ona.
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
Mbowe anawashinda kwa Hoja wote CCM kwa ujumla wao....labda wao ndiyo walitaka kumuua yeye.
 
Mzalendo hawezi kuhamasisha vuru na uvunjifu wa amani.
angalia viongozi wenzake wa vyama vingine kama kina Mbatia, Lipumba na wengine uliwahi kuwasikia wanahamasisha vurugu?
Mbowe yeye kila kukicha anapanga mipango ya kuuwa na kuwaumiza watu.wasio na hatia kisa anataka kushika dola, dola haitafutwi kimafia.
hii nchi imejengwa kwenye misingi imara ya Amani na Utulivu.
Amani na utulivu ndio mboni yetu, sasa Mbowe na genge lake wanapanga umafia wao halafu unataka serikali iwachekee.
Mama asicheke nao hawa atavuna mabua hawafai.
 
Wanasiasa aina ya mbowe ni watu hatari zaidi
Unaweza kukutaa ni
kiongozi wa genge la majambaazi
Kiongozi wa ugaidi
Kiongozi wa uuzaji wa madawa ya kulevya.

WANKUWA NA SURA ZA AINA MBILI na kamwe ningumu kwa mtu au serikali kumubaini, maana ashajitengenezea imani kwa wananchi kuwa ni mwanademokrasia wa kweli, nikiongozi maarufu n.k

Tuwe makini sana naa watu wa aaina hii nyuma yao kuna mengi machafu, mabaya na yanayo ogopesha.

Vyombo vya usalama fanyeni kazi yenu.
Taifa lipo hata kama huyo au yule asipokuwepo bado kunakizazi kinahitaji kuishi naa amani kama mimi na wewe au yule!
 
Kwani kuna mtu alishajiaminisha kuwa kifo cha JPM kilikuwa cha kawaida, na ya kwamba tujifute tu machozi na kusonga mbele bila uchunguzi wowote.? Tutakuwa taifa la ajabu sana kiongozi wa nchi afe katika mazingira ya kutatanisha halafu eti tuchukulie poa.

Kifo cha huyu jpm
Nami nahisi siokifo cha kawaida.
Kulikuwa na mpango mkakati mkubwa sana
kuanzia kwa Kijazi na jpm.

Ndugu haya mambo ni ngumu sana kuyabaini kuna watu tunawaona kwa mtizamo wa nje ni watu wema sana lakini nyuma yao ni hatari zaidi.

Lakini tutajua tu huko badae
 
Hawa wamepotezwa na hiki hiki kikosi kazi cha Mbowe.

Mwisho wake umefika. Wanateketeza watu kisha wanatengeneza mazingira ionekane ni serikali inahusika.
Lissu mwenyewe anajua huu ujumbe wako kumuhusu yeye kutaka kuuwawa na Mbowe ni rubbish kabisa
 
Kifo cha huyu jpm
Nami nahisi siokifo cha kawaida.
Kulikuwa na mpango mkakati mkubwa sana
kuanzia kwa Kijazi na jpm.

Ndugu haya mambo ni ngumu sana kuyabaini kuna watu tunawaona kwa mtizamo wa nje ni watu wema sana lakini nyuma yao ni hatari zaidi.

Lakini tutajua tu huko badae
Fikra zako mbona zimekaa kinadharia sana- Msingi wa hoja yako ni upi?
 
Unahitaji nikujibu vipi?
kama umeshindwa kuelewa nilichokiandika.

Mbowe achunguzwe kwa kina tena kina kuna mengi tunahitaji kuyafahamu kama Taifa na kwa usalama wa Taifa
 
Kesi za kubumba hizi huwa hazina maana ni kupoteza tu muda wa kufanya mambo ya msingi nchi hii Ina matatizo mengi hivyo ni vizuri serikali itumie muda na rasilimali zake kutatua hayo matatizo ya msingi, katiba mpya hata mfanyeje hata ichelewe vip ila juaeni ipo siku mtaitoa tu
 
Hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo, Ccm wameshindwa jibu hoja Sasa wapo kutumia vyombo vya umma kuumiza, kusingizia watu, subilin tu, mda utasema,

Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
Mkuu hebu tuambie wewe ni nani kati ya "Slow-Slow" na "Beshiri"? Maana naona leo unamwandama sana Mbowe!
Ref:
Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

Matatizo ya Viongozi wavivu yametuleta kwenye Kodi zisizo na Maana

Wanasiasa wapo kimia sababu yanayo tupata hayawahusu ila miaka yote walikua vichwa juu kupiga kelele kua wanaonewa sababu waliminywa vizur
 
Ukitaka kujua usaniii wa Polisi

Barua ya mwaka Jana 2020

Hata magufuli ajafa maana yake waliiandaa toka mwaka Jana kumtengenezea kesi.

Na wakakosa ushahidi sasa wameona watumie hoja ya katiba kumnyamazisha

Ila sasahivi ndio tunaanza sasa kudai katiba mpya ile rasmi
Sheria ni msumeno kamanda
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
watu stupid kama wewe ndio watajiuliza ujinga kama huo eti alitaka kumuua nani, stupid idiots will ask such silly rubbish shit!
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
Nahisi hujamalizia dozi yako ya dawa ya kutuliza kichaa. Angalia wasije kukuzoa wakakurudisha Mirembe
 
Kauli zake na ongea yake zilionesha dharau kwa Amiri Jeshi Mkuu mh. SSH. Mbona wakati wa JPM pamoja na kumkosoa alifanya kwa staha? Mbowe dharau itamponza!
 
Habar wadau najua baada ya Mh Mbowe kukamatwa na Polisi kusema kuwa anashutumiwa kwa makosa ya Ugaidi na kupanga njama za kuua Viongozi wa Serikali Nina Imani kabisa utakuwa unajiuliza ni nani huyo kiongozi aliyetaka kuuliwa na Mbowe?

Najua Kuna watu Wana watu mjini hapa wanaoweza kuwapa Baadhi ya Taarifa za Chini chini je mnaweza kutuambia Mbowe shutuma zake zilimlenga nani?
Nyerere.
 
Back
Top Bottom