Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Hongera aisee!!siku hizi umekomaa kisiasa!!!nilikua nakujaza upepo makusudi nione reaction yako!!ahahahahaha kumbe unafatilia kweli Mwendo wa Magufuli

BTW 3billions hazijaliwa bali hazitoshi kwa matengenezo

Huu si uungwana hata kidogo
 
Unafeli sana siku hizi!ni wapi uliambiwa zilitolewa Billion3?!
Ni million 3 na sio billion3 ndizo Rais alitoa

Nafikri wakati wizara inatoa taarifa ulikuwa unahesabishwa ceiling board au mabati!
 
Sasa kama mashine mbili tu za muhimbili zimemshinda,,,ataweza kujenga viwanda?
Kwani yeye fundi lile fisadi lenu la monduli limefanya nini zaidi ya wizi na ufisadi wa mali za watanzania.
 
Huyo Magufuli kafanya lipi la maana hadi sasa ??au unababaika na hizo ahadi hewa??
 
Mpe muda mkuu!wewe mwenyewe utaona mambo yatakavyokua super,Magufuli hatapeliwi kirahisi namna hiyo

Hahahaaa..kama wale samaki?na kivuko je?nyumba za serikali je?mzee wa kukurupuka!..yetu macho..eti hatapeliwi!rais mstaafu anatumia ndege ya rais..halafu yeye anadunda hadi Dom kwa gari!ujingaaaa!
 
Tumpe siku Mia bana, Jingalao you are too hysterical tuliza makalio chini baada ya siku 100 ndio urudi hapa na kumsifia baada ya kuona dira yake ikifanyiwa kazi. Maneno mazuri hata Kikwete alikua nayo.

Ni kweli tumpe muda ni mapema sana kuanza kumsifia Mh Rais. Tusubiri utekelezaji wa aliyoyasema ndio tuthubutu kusema sasa Rais anafanya vema.
 
Hebu acheni mihemuko nyie watu.

Mtu hata mwezi hajamaliza lakini nyie mnahemuka tu.

Msiwe watu wa kuongozwa na hisia hovyo hovyo tu.

Tumieni akili zenu [kama hata mnazo].
 
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Mkuu bado ni mapema sana kusema jambo japo waswahilo husema nyota njema huonekana asubuhi.Kumbuka Yale ni mambo ambayo yameandikwa kwenye makaratasi bado hatujaenda field kupambana.Hotuba ilikuwa nzuri ambayo kama kweli akipata watendaji wazuri na akasimamia angalao tutaelewa.ila kumtathmini kwa sasa tutakuwa tunajiweka njia panda,ngoja tuone baraza lake LA mawazir kwanza,halafu pia tujipe moyo kuwa Mheshimiwa hatayumbishwa na chama,maana tatizo linaweza lisiwe ni yeye likawa ni watu ndan ya chama walojaa uroho.So tumuombee huku tukifanya tathmini ya utendaji
 
alivyosema hafla hela ikanunue vitanda watumie cjui mil 15/22 tu alipata makofi machache tena ya unafiki wabunge walitia huruma sana, najua wanaukawa hili pia wamelipenda
 
Maneno na vitendo Ni vitu viwili tofauti. Muulize meli yake ya Dar - Bagamoyo iko wapi.
 
Back
Top Bottom