Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,162
Reaction score
31,716
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Nasikia zile mashine za Muhimbili zimeshaharibika tena,, bilioni tatu ya matengenezo wajanja wamekula
 
lete ushahidi hapa,acha longo longo

Hongera aisee!!siku hizi umekomaa kisiasa!!!nilikua nakujaza upepo makusudi nione reaction yako!!ahahahahaha kumbe unafatilia kweli Mwendo wa Magufuli

BTW 3billions hazijaliwa bali hazitoshi kwa matengenezo
 
Back
Top Bottom