Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Nyota njema huonekana asubuhi haingoji siku 100. Mambo ya kwenda na ndege uswiss ni ya kitoto sisi tunataka mambo ya kikubwa. ukienda na ndege ya Rais Uswiss ndiyo nini? Tunataka impact based actions siyo ub show. Nani anataka ubishow Magufuli? Utoto huo hana Magu, unamtosha JK mwenye baby face na baby mentelity, Magu ni mtu mzima kwa sura na akili pia
 
Dira y Dk. Magufuli inaelekea kuzuri. Tuache ushabiki tumuunge mkono, tufanye kazi kwa pamoja.
 
Sasa kama mashine mbili tu za muhimbili zimemshinda,,,ataweza kujenga viwanda?

Hizi mbio za magufuli zitaishia ukingoni soon ngoja akaguse sehemu za ulaji wa wakubwa kama hajanyamazishwa yetu macho. Japo anakuja kwa spidi nzr ya kuwaridhisha watanzania lkn huu mfumo wa ccm huu any way cjui.
 
Matengenezo gani wakati mashine zimeshabuma... Magufuli ametapeliwa

Yaani wasipokuwepo watendaji wa kweli na wazuri wa kumsaidia Magufuli kl kitu kitakuwa ziro.na wengine watamfanyia makusudi ili juhudi zake zikwame.
 
Asiyemkubali Magufuli ana lake jambo si bure

Ni mapema mno jmn tumpe muda na tuvute subira maana ht kikwete alianza kwa style hii hii pmj na kufuja fedha za walipa kodi kuwapeleka ngurdoto eti semina elekezi kiko wapi.
 
Kwani yeye fundi lile fisadi lenu la monduli limefanya nini zaidi ya wizi na ufisadi wa mali za watanzania.

Hv unaposema Lile fisadi lenu.katika viongozi wooote waliotangulia Mkapa na Kikwete hujaona ufisadi wa kutisha wslioufanya? Au unajifanya nyani
 
alivyosema hafla hela ikanunue vitanda watumie cjui mil 15/22 tu alipata makofi machache tena ya unafiki wabunge walitia huruma sana, najua wanaukawa hili pia wamelipenda

Uliona eeh ht mm hilo niliona watu hawakupiga makofi kbs walinuna. Walizowea wakiwa na mkwere wanakula mpk wanatapika. Huyu mkwere mfujaji sana wa fedha za wananchi. Ameliltea taifa hasara kubwa. Ukijumlisha na magari ya washawasha hv kulikuwa na vita?
 
Nyota njema huonekana asubuhi haingoji siku 100. Mambo ya kwenda na ndege uswiss ni ya kitoto sisi tunataka mambo ya kikubwa. ukienda na ndege ya Rais Uswiss ndiyo nini? Tunataka impact based actions siyo ub show. Nani anataka ubishow Magufuli? Utoto huo hana Magu, unamtosha JK mwenye baby face na baby mentelity, Magu ni mtu mzima kwa sura na akili pia

leo tena JK kawa anambo ya ubishooo makubw
 
Tatizo si "mtu",tatizo ni mfumo,na hapa tatizo ni "uccm","uwenzetu" na "ukada".
JPM kama mtu anaweza akawa msimamizi na mtendaji mzuri sana sana,lakini kama ataendekeza ukada,uccm na uwenzetu,hapo anaweza kushindwa.
Embu jiulize,mtoto wa mwenyekiti wa ccm na mbunge mmoja wana kampuni ya catering ambayo wanapata tenda zote za sherehe za kiserikali,ukifuta chakula katika sherehe za kiserikali,huyo mtoto,mbunge na familia ya huyo mtoto watafurahi?Si ndio wataanza kufanya "sabotage" kwa serikali?Mh. mbunge ana travel agency ambayo wateja wake wakubwa ni viongozi wazurulaji huko nje,atafurahia kukatwa kwa safari za nje?
Mke wa x pm ana tenda ya kusupply refreshments kwenye wizara na idara za serikali ambapo yai moja hulipiwa elfu 2,leo JPM akifuta hiyo bajeti unategemea hawa watu wamwangalie tu?
Swali la msingi ni je,yupo tayari kutumbua majipu yaliyopo mwilini mwake halafu akakubaliana na machungu?

Hapo sasa ndio kny kimbe mbe mkuu. Itafika mahali ataitwa aonywe aache kuwabania chezea ccm ww.
 
Anaglia hiihotuba ya JPM:
Aidha, kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau wa siasa hususan vyama vya CUF na CCM tutahakikisha kuwa majaribu ya kisiasa yanayoikabili Zanzibar yanamalizika kwa salama na amani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie busara na hekima tumalize kwa utulivu na amani.

Serikali nitakayoiunda itafanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuendelea kuimarisha Muungano wetu. Nina faraja kuwa Mheshimiwa Samia Suluhu, Makamu wa Rais anao uzoefu mkubwa kutokana na nafasi yake ya awali ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano, na pia akiwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Mimi pamoja na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein tutahakikisha tunasimamia na kuimarisha Muungano wetu.

Katangazwa lini?
 
naoana mnapanga mambo yenu ili muwazuge watanzania
 
Hili ndio tatizo kubwa sana la Mhe Pombe - ama kwa makusi au kwa kutojua anajikinzani mwenyewe: huku anazungumzia majipu na utumbuaji wake wakati huo huo HAJUI kuwa jipu babuk na lililoiva ni mtafuruku wa Zanzibar. Wewe Rais ambaye unategemewa kutenda haki (kama anavyojinadi, wakati sivyo alivyo) utatamkaje maneno hayo wakati dunia nzima inajua kinachoendelea Zanzibar? Kwa tathmni ya haraka haraka, Mhe Pombe atatumbua hivyo vijijipu vya uzembe kama vya Muhimbili, lakini siyo haya majipu makubwa.
Analaani mipasho, anahitimisha hotuba kwa mipasho. Hawezi kujua kwa nini wana wa UKAWA wamefanya walichofanya - baada ya jitihada zao za njia ya kiutu uzima kushindikana - alitaka wakae pale wakenue na kupiga makofi kwa kuendekeza DHULUMA kama hizi? Bado ni rais mpya, vinginevyo ningesema neno baya - potelea mbali nile ban!
 
Anaglia hiihotuba ya JPM:
Aidha, kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau wa siasa hususan vyama vya CUF na CCM tutahakikisha kuwa majaribu ya kisiasa yanayoikabili Zanzibar yanamalizika kwa salama na amani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie busara na hekima tumalize kwa utulivu na amani.

Serikali nitakayoiunda itafanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuendelea kuimarisha Muungano wetu. Nina faraja kuwa Mheshimiwa Samia Suluhu, Makamu wa Rais anao uzoefu mkubwa kutokana na nafasi yake ya awali ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano, na pia akiwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Mimi pamoja na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein tutahakikisha tunasimamia na kuimarisha Muungano wetu.

Katangazwa lini?

Alitangazwa 2010 na ataendelea kuwa Rais wa Zanzibar mpaka pale uchaguzi utakapofanyika na kutangazwa Rais mwingine.
 
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

tv ya ikulu remote Msoga
 
Nasikia zile mashine za Muhimbili zimeshaharibika tena,, bilioni tatu ya matengenezo wajanja wamekula

Acha uongo wewe,,zilitolewa bilioni tatu na wizara ya fedha

Unatia aibu mama!!ni 3million and not 3billions,hivi kwa nini hua mnakurupuka na mambo ya uongo?

Tofauti ya Magufuli na wale wengine ni kuwa Magufuli ametambua tatizo, kisha akatoa pesa za matengenezo wakati ambao wale wengine wasingefanya hivo bali wangezifisado hizo pesa za matengenezo na mngeambiwa..serikali haina pesa kwa sasa.

Tofauti nyingine ni kuwa Magufuli atakatizia na kuwatia kitanzi walioila hiyo pesa (kama wapo). Wale wengine wangewaita 'wala pesa' na kunywa nao chai.
Waulizeni makontrakta waliopiga pesa za miradi ya barabara...walizitema bila kupenda na kazi ikamaliziwa chini ya usimamizi mkali.
Magufuli sio yulr Rais aliyepelekwa kuzindua miradi hewa Bagamoyo...afu cha maana baada ya hapo ni vile viskendo vya kina bwana Muro.

Na kama
 
Unafeli sana siku hizi!ni wapi uliambiwa zilitolewa Billion3?!
Ni million 3 na sio billion3 ndizo Rais alitoa

Nahisi we si mtanzania kama billion 3 unaibadili kuwa million 3?
 
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Ninachofurahi mimi ni kuwa wananchi wa dar hawajachagua mbunge hata mmoja toka upinzani aka ukawa, maana nlikuwa simpendi mnyika
 
Back
Top Bottom