Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

Hongera aisee!!siku hizi umekomaa kisiasa!!!nilikua nakujaza upepo makusudi nione reaction yako!!ahahahahaha kumbe unafatilia kweli Mwendo wa Magufuli

BTW 3billions hazijaliwa bali hazitoshi kwa matengenezo
Wewe ulikuwa hujui ukaenda kusoma. lel
 
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ungeanza na meli ya Bagamoyo aliyoizindua na kuitelekeza bila hata ya kufanya safari moja ya kibiashara, nawasilisha.
 
Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.

Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.

Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.

Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!

Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.

Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.

Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.

Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.

Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!

Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Watu wanachanganya mambo! Hakuna asiye penda maendeleo lakini ni jinsi gani tuyapate hayo maendeleo. Maendeleo hupangwa ili tuyagikie kwa njia nafuu kuliko njia nyingine. Huwezi kuleta maendeleo at the expense of abolishing Democracy! Huwezi kuleta maendeleo kwa kuwanyima watumishi wa umma stahiki zao.
 
Back
Top Bottom