Sijamshabikia Magufuli kwa bahati mbaya.
Nilimshabikia kwa imani kubwa juu yake.
Nilimshabikia kwa kuwa nilijua ni mteule na ni mteule wa kweli mwenye kusimamama katika kweli.
Nilimshabikia kama mzalendo Mtanzania bila kulipwa chochote na asiyetegemea kulipwa chochote.
Nilimshabikia kwa kuwa yuko genuine!
Nilimshabikia SANA ili nchi yetuisitumbukie kwenye mikono ya mafisadi.
Kamwe sitajutia kumshabikia Magufuli kwa kuwa watanzania wa hali ya chini kama mimi watafaidika.
Nilikubali kejeli na matusi yote ili tu watanzania wapate kilicho bora.
Niliuvaa ujinga ili tu watoto na vijana wetu wanielewe.
Niliuvaa utoto na ujana kwa maslahi ya mama Tanzania!
Watanzania watakuwa wananielewa sasa kile nilichokishabikia kwa ukweli au propaganda ni kipi hasa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hata jk alikuwa na hotuba nzuri zaidi ya hii. ,lakini vitendo Zero
Unatia aibu mama!!ni 3million and not 3billions,hivi kwa nini hua mnakurupuka na mambo ya uongo?
wewe ndo muongo.milion tatu?? hata maintanance ya photocopy machine inazd m 3
Mudawote, huwatendei haki wapinzani. Madudu mengi ndani ya serikali yanaibuliwa na wapinzani. Au hujui kazi ya upinzani? Usiwachukie!!!Ukawa ni mashetani, wao wanasubiri wakosee ccm, yaani hawaitakii mema nchi yetu, nawachukia sana
Hebu acheni mihemuko nyie watu.
Mtu hata mwezi hajamaliza lakini nyie mnahemuka tu.
Msiwe watu wa kuongozwa na hisia hovyo hovyo tu.
Tumieni akili zenu [kama hata mnazo].
......hotuba ilikuwa nzuri lakini alipofika kwenye katiba mpya alituboa hadi watu waliokuwa wamasikiliza wakaanza kuponda...
Taratibu za manunuzi zifuatwe!!
Taratibu za manunuzi zifuatwe!!
Tatizo si "mtu",tatizo ni mfumo,na hapa tatizo ni "uccm","uwenzetu" na "ukada".
JPM kama mtu anaweza akawa msimamizi na mtendaji mzuri sana sana,lakini kama ataendekeza ukada,uccm na uwenzetu,hapo anaweza kushindwa.
Embu jiulize,mtoto wa mwenyekiti wa ccm na mbunge mmoja wana kampuni ya catering ambayo wanapata tenda zote za sherehe za kiserikali,ukifuta chakula katika sherehe za kiserikali,huyo mtoto,mbunge na familia ya huyo mtoto watafurahi?Si ndio wataanza kufanya "sabotage" kwa serikali?Mh. mbunge ana travel agency ambayo wateja wake wakubwa ni viongozi wazurulaji huko nje,atafurahia kukatwa kwa safari za nje?
Mke wa x pm ana tenda ya kusupply refreshments kwenye wizara na idara za serikali ambapo yai moja hulipiwa elfu 2,leo JPM akifuta hiyo bajeti unategemea hawa watu wamwangalie tu?
Swali la msingi ni je,yupo tayari kutumbua majipu yaliyopo mwilini mwake halafu akakubaliana na machungu?
Unajua Eli79 wapinzani wanachukiwa sana kwa sasa kwa sababu ya unafiki wao juu ya lowasa. Hiyo kitu itawagharimu sana. Na kibaya zaidi uanaharakati kwa sasa ndiyo utawamaliza zaidi. Chuki yangu kubwa ni jinsi wanavyomdharau Dr Magufuli. Maana mpaka sasa wao wanaonesha dharau tu. Maana ktk tz ya sasa hakuna rais afaaye kama Dr Magufuli, ila wao wanabeza kila kitu.Mudawote, huwatendei haki wapinzani. Madudu mengi ndani ya serikali yanaibuliwa na wapinzani. Au hujui kazi ya upinzani? Usiwachukie!!!